Land cruiser gx v8 inauzwa

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Habari zenu wana JF kama Heading inavyojieleza Gari aina ya Land Cruiser GX V8 inauzwa kwa bei poa kabisa ya Mil.115 lakini pia maongezi yapo na bei inaweza kupungua kidogo kutokana na hali ya sasa.
Karibuni sana.

IMG-20171208-WA0010.jpg
IMG-20171208-WA0011.jpg
IMG-20171208-WA0012.jpg
IMG-20171208-WA0007.jpg
IMG-20171208-WA0008.jpg
IMG-20171208-WA0009.jpg
IMG-20171208-WA0006.jpg
 
Aisee, chuma kimesimamia kucha! Halafu ni manual transmission...

Anyway.. Kila la kheri Mkuu.
 
Chuma kimetulia ila vyuma vimekaza mkuu kila la kher
 
ichi ndo chuma sasa cheki kilivyosimama ila kwa mie ntakila kwa macho tu na vyuma vilivyokaza dah, umasikini mbaya sana
 
Mimi matangazo yangu ni ya TECNO huko umeenda mbali sana mkuu.
 
napata nyumba sita mjini hapa za watu waliokopa benki na kushindwa kulipa kwa pesa iyo
 
Khaa! Mkuu, unanitamanisha nikavamie benki... Ukisikia kuna tukio la uporaji limetokea leo basi ujeu ni mimi na hii yote ni kwa sababu ya hii ndinga! :D
 
Habari zenu wana JF kama Heading inavyojieleza Gari aina ya Land Cruiser GX V8 inauzwa kwa bei poa kabisa ya Mil.115 lakini pia maongezi yapo na bei inaweza kupungua kidogo kutokana na hali ya sasa.
Karibuni sana.

View attachment 646397View attachment 646398View attachment 646399View attachment 646400View attachment 646401View attachment 646402View attachment 646403
Ukisikia mwanaume mashine,basi ujue ni kumiriki mambo kama haya,
Salute kwa mmbabe atakae chukua hii mashine
 
Back
Top Bottom