Sema ulitaka watu wajue kama na ww unagari...... Ihiii umeweka rekodi ndani YA nusu saa Uzi ushakuwa closedImepata mteja tayari
Ndani ya dakika 28 tu umepata mteja wa 115 M. basi vyuma vitakua vimelegeaImepata mteja tayari
Mhhh ni manual kweli ?Aisee, chuma kimesimamia kucha! Halafu ni manual transmission...
Anyway.. Kila la kheri Mkuu.
Ukisikia mwanaume mashine,basi ujue ni kumiriki mambo kama haya,Habari zenu wana JF kama Heading inavyojieleza Gari aina ya Land Cruiser GX V8 inauzwa kwa bei poa kabisa ya Mil.115 lakini pia maongezi yapo na bei inaweza kupungua kidogo kutokana na hali ya sasa.
Karibuni sana.
View attachment 646397View attachment 646398View attachment 646399View attachment 646400View attachment 646401View attachment 646402View attachment 646403