lamba taka

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Bwana mmoja alikurupuka na kuingia nyumbani kwa mama mmoja na kuanza kumwaga vumbi na takataka nyingine kwenye zulia. Yule mama kwa mshangao akamuuliza.
"we mwehu nini?"
"hapana mama, ninafanya promo ya mashine ya kufagia inayotumia umeme kidogo tu. Nakuapia mama yangu, mashine ikishindwa kusafisha hizi takataka nitazilamba kwa ulimi wangu"
"Haya haraka, anza kulamba taka. Hakuna umeme hapa"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom