LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Nyinyi hupinga kila kitu kinachuhusu Kenya. Hamtaki East Africa iwe nchi moja, ati kwa sababu mnajitosheleza.
Kenya watu millioni 44, Tanzania watu milioni 50, Uganda watu milloni 38, Rwanda watu miloni 11, Burundi watu milioni 10. EAF inaweza kuwa nchi yenye watu wengi sana na iwe na influence kubwa globally.
Tuna mafuta, tuna mbuga, tuna milima, na rasilimali nyinginezo, lugha ni moja. Hq ni Arusha lakini bado hamtaki.
Lakini nashuku ni propaganda za CCM. Tangu uhuru mmekuwa mkiongozwa na CCM. So, bado hamjakomaa kidemokrasia. Mnaamini vitu vya kishenzi mnavyoambiwa na viongozi wenu.
Uganda na Rwanda hawapingi lakini nyinyi mnasambaratisha kila juhudi ya kuiunganisha EAC. Ama mnaogopa nini?