Lakini nimegundua...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lakini nimegundua......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaizer, Feb 3, 2011.

 1. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Mabibi na Mabwana

  kwa uzoefu wa miaka mingi, nimegundua kwamba katika tasnia ya kumtafuta mweza kimapenzi/kutongoza na kutongozwa, kuna makundi mawili makuu kwa upande wa hawa kina dada zetu.

  • La kwanza, niseme ni wale ambao ni kina dada 'mamboleo' (liberals).....hawa, huwa hawana longo longo ya kukuzungusha na kukupa probation na matimeline , including kukupa mitihani mbali mbali kujua lengo lako hasa ni nini (hivi lengo la mwanaume yeyote si linafahamikaga?)
   • Hawa, ni rahisi zaidi kuelewana, kukubaliana na kuachana inapobidi, yaani wakati mwingine no strings attached kabisaa...wanajua what you need in the first place...easy going.

  • Wengine sasa, ni wale wahafidhina....hawa watafanya kinyume kabisa na hayo hapo kwenye namba moja,,,,yaani kukuzungusha miezi 6 hadi mwaka , kwake sio shida kabisa, probation, na hata kama akija kukubalia basi ni kwa masharti mazito mazito na vitu kama ivyo, hawako wawazi ni nini hasa wanataka kwenye mahusiano, ili mradi ni ile kwamba "mimi nina maadili nimelelewa kwetu siwezi kukubali kirahisi rahisi" and the like

  Sasa basi, kwa uzoefu wangu, nimegundua watu wa ivyo wanachukua muda sana kupata mwenza, kupata mtoto, na mara nyingi huishia kuwa single hasa kwa kipindi hiki cha utandawazi ambapo namna za kutafuta na kupata wenza zimekuwa nyingi, including the internet, so uwezekano wa mwanaume kuchapa mwendo kama 'anazungushwa' ni mkubwa sana

  Sijui kama wenzangu mna ze same thought na experience, ama ni mawazo yangu 'mabaya' tu, au kama kuna second thought kwenye hili?

  Kina dada, mnalionaje hili, kuna namna ya kubadilika ama ndo ivo nature?:bump:
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwa wanaume vp?
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  enhe....mtazamo wako kwao upoje Rose?
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kaizer,

  Wadada watashindwa kuelewa nini hasa mnataka maana hakuna jema. Mtu akiwa liberal mtamwita majina mabaya ya kila aina- mchicha, maharage ya mbeya, mara kicheche n.k.!

  Akiwa conservative naye hamkawii kumwona haeleweki... mnaanza kumponda - ohh unajizungusha nini? Una uzuri gani wa kuringia nk.

  Maoni yangu - Kila mtu awe huru kufuata kile roho yake inataka. Mwisho wa siku mioyo ya wahusika is what matters. Huwezi kumjua mtu moyo wake hadi siku ya siku litokee la kutokea ndipo uone rangi zake halisi - haijalishi ni liberal au conservative.
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Salamu WoS...kwanza nimependa avatar yako...
  Anazungumzia Kaizer ni kumkubalia haraka yule unaedhani anakufaa....mwanamke anaonekana changu (na majina yafananayo) anapokuwa nakubalia wanaume wengi....
  Labda niulize kwa nini wanawake wanapenda kutumia kipimo cha muda kupima penzi la mwanaume??
   
 6. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hommie unataka miteremko sio? Sometimes milima ina raha yake!
  All in all maisha yanabadilika na hivyo unakuta mbinu za zamani hazina nafasi...tatizo letu kubwa tunashindwa kujua tubadilike vp na wakati bili kubadili theme yenyewe!
   
 7. GY

  GY JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Nadhani muwe zaidi ya mlivyo sasa, muwe independent na muwe mna dare kufanya tunayofanya, that way mambo ya maharage ya mbeya hayatakuwepo, kwa kifupi, muwe free kututongoza inapobidi, ili nasi tugeuke malibero na mahafidhina
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Rose kwetu huku wanaume ndio wanaotafuta, hata wewe ukikifia kidume unachoweza kufanya ni kuweka mitego tu lakini mwisho wa siku ni chenyewe ndio kitakacho kuimbisha!!!!
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kaizer inategemea na vitu vingi..........
  1. Umri wa huyo anayefuatwa...kama ni mtu machua au la
  2. Malezi na mitazamo mbalimbali katika jamii inayowazunguka...............kama jamii imezoea kuwalebo wasichana wanaokubali haraka maombi ya kina kaka kama wahuni and the alike tegemea kabisa kuzungushwa
  3 Lakini pia some attitudes ni nyie wenyewe mnazi'construct'......... kama mimi mwanamke ninajiamini na ninajihisi kabisa nimekufa kwa Kaizer nikija na kukwambia live lazima utanichukulia kimzaha.....na pengine ukatake advantage kabisa ukamega kisha ukatambaa.........najua wapo mtaosema body langweji ......wengine somo hili gumu wajameni.

  Kwa wale ambao mnawaita maliberals..............inabidi tutofautishe kidogo kwani hata professional changudoa ni liberal kumbuka.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,966
  Likes Received: 23,853
  Trophy Points: 280
  Aisee hommie!

  Hebu nitumie namba ya hako kabinti kanakokusumbua!
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Well said mjukuu! Hapa inabidi tuangalie ni jinsi gani ya kubadili mtazamo bila ya wengi kuadhirika! Mfano miaka ya zamani jamii nyingi zilikua hazivai nguo kama sasa na matukio ya kubakwa hayakua mengi. Mtoto anazaliwa anakuta huo ndo mfumo wa maisha...
  Hapa nataka kusema kubadili huu mtazamo ni kuwajengea watoto mfumo huo ili waone ni kawaida!
   
 12. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahaha tatizo hommie kazoea "one night stand" sasa kakutana na"six months stand" kakosa mbinu! Uzee nao tabu!
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  easy get, easy gone. kwa hiyo it is up to you kujua unataka wa longlasting au shortlasting. Kama unataka wa wiki mbili tatu kwa nini umfwate mhafidhina?

  My take: wahafidhina hawaishii kwenye usingo through out their life sema huchelewa kupata wenza na watoto ni lazima, liberals hawaoni shida kuwa singo ili mradi tuu alishajipatia vitoto viwili.
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Kimey ngoja nikacheke kwanza..will be back
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,966
  Likes Received: 23,853
  Trophy Points: 280
  Hahahaha...aisee umevunja mbavu za big braza.

  Six months baioloji imesimama tu?
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye bold, unajua sijasema tu hii sredi pia imekuwa inspired na ile sredi yako ya jana "living single" na suala zima la mitizamo ya jamii

  Kwa hiyo wale ambao ni malezi, ndo wanakuwa wahafidhina eeh? hawakubali kirahisi? mbona hawasomi pia alama za nyakati?

  Na pia hujanifafanulia uhusiano wa umri na uharaka wa mtu kukubali mtongozo

  good afternoon love
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Very good Marytina,

  Exactly kwamba wanachelewa kupata wenza...mi ninawezaje basi kumjua kwamba huyu ni mhafidhina au liberal kwa mara ya kwanza tu? Na ukumbuke huenda nia yangu ni long term tufunge ndoa tupate watoto sasa akizungusha zungusha ndo bahati inapotea ivo!
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Imagine.....dah....sijui Kimey wa usalule huko atakuwa ni wa one nite ama six months stand? dah

  Asee nitakuPM hommie....:coffee:
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,966
  Likes Received: 23,853
  Trophy Points: 280
  Simjibii mjukuu hommie lakini hapo kwenye bold:

  Kuna tofauti kubwa sana ya kumtongoza na kukubaliwa na mwanamke wa miaka 35 ukilinganisha na wa miaka 18...
  Kwangu mie wa miaka 35 hana longolongo nyiiingi kama wa miaka 18.
  Yes... kuna uhusiano mkubwa sana wa mtongozo na umri.
  Sijafanya research thou! Kwahiyo sitegemei maswali.
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mkuu umekutana na kigingi safari hii jasho limekutoka eeehhh pole vumilia tu ndo maisha
   
Loading...