Laki si pesa

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
680
627
Haka kamsemo kalivuma sana awamu iliyopita ivi bado kapoo?
Nauliza tu hapo mtaani kwako vip
"Laki si pesa" million chenji......
 
miaka 20 iliyopita watu walilipa laki mbili kumtazama kanda bongo man
leo hata nusu tu ni unthinkable
 
Bado sio pesa. Leo jioni kuna mtu kanilipa laki lakini najihisi kama nimepokea elfu 10000 maana mpaka sasa nimeitumbua imebaki 9000 kwenye mpesa.
 
Bado sio pesa. Leo jioni kuna mtu kanilipa laki lakini najihisi kama nimepokea elfu 10000 maana mpaka sasa nimeitumbua imebaki 9000 kwenye mpesa.
Ni wazi kwamba haina thamani hata awamu iliyopita ilikuwa haina thamani pia lakini je inapatikana mpaka kufikia hatua ya kusema laki si pesa?
 
Kuna Demu namjua kinywaji chake kilikuwaga savana au windohoek juzi nimemkuta dukani anagonga kiroba !
 
kama we huna wenzako wanazo...........LAKI SI PESA MILLIONI KEEP CHANGE............
Sawa najua hatuwezi kufanana, lakini nazungumzia majority kwamba bado laki si pesa kama ilivyokuaga au kuna tofauti..?!
 
Milioni 10 hela ya mboga ya siku moja ya familia.
Bilioni 2 ( $ 1m) ni vijisenti tu.

Waulize waliowahi kutamka hayo maneno watakueleza sasa hivi wanasemaje?
 
Back
Top Bottom