Laki 5 itasababisha watu wachukue maiti zisizokuwa za kwao

MartinCoder

JF-Expert Member
Feb 20, 2018
700
629
Kama ilivyotangazwa kutokana na ajali ya mv Nyerere kwa kila mwili utakaotambuliwa sh lak 5 zitatolewa Kama ubani .Kwa usawa huu wa vyuma Laki 5 itasababisha watu wachukue maiti zisizokuwa za kwao.

Iliwah kutokea maeneo fulani ya Dar watu kugombania makaburi kwa ajili kupata malipo ya fidia ya kuhamisha kaburi kwa ajil ya upanuz wa barabara. Vyuma ni shidda
 
Back
Top Bottom