Lake Tanganyika oil drilling may start after 15 years – Explorer: But there are visible signs of OIL

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Mon, Oct 29th, 20
Tanzania |


An international oil and gas exploration company, Beach Petroleum (T) Limited of Australia, has declared that even though there are positive signs of oil in Lake Tanganyika's Rukwa Region section, it will take more than 15 years for the first well to be drilled.

Beach-Petroleum.jpg

That was recently revealed by Beach Petroleum (T) Limited Country Manager, Mr Marcus Mng'ong'o, who cautioned that though there are visible signs of oil in Lake Tanganyika, scientifically it was too early to officially announce it until the extraction from the first drilled well starts.


The Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) has contracted Beach Petroleum (T) Limited from Australia to explore oil and gas in Lake Tanganyika in Rukwa Region, an undertaking that started early last year and scheduled for completion between 2015 and 2016. Mr Mng'ong'o made the revelation following a story being spread by residents from villages along the shores of Lake Tanganyikain Nkasi District, that Beach Petroleum (T) Limited used MV Mwongozo to extract huge quantities of minerals from the lake's bed and made away with them.


"It is very sad that even after holding several meetings with residents of villages along the shores of the lake particularly in Nkasi district, they continue to spread baseless reports that soldiers are using MV Mwongozo to deprive them minerals extracted deep down the lake. The story is not true at all, the truth is we are still exploring oil and gas in Lake Tanganyika and at times we used MV Mwongozo during the exercise and not otherwise, the big challenge we are currently facing is lack of understanding among the residents.


Once the project bears fruit, it will greatly benefit not only them (villagers), but also the nation at large" he noted. Following that misunderstanding recently, Beach Petroleum (T) Limited jointly with TPDC held a one-day workshop that attracted local functionaries from 34 villages along the shores of Lake Tanganyika in Nkasi district. The upshot was to sensitize them over the current oil and exploration endeavour carried out in the area.


Several participants urged the government to transparently involve the public on various important contracts they enter into with investors, both local and foreigners, particularly those that directly affect them in an effort to curb unnecessary disputes that might arise between them. Contributing on the subject, a councillor from Kirando Ward, Mr Privitus Joram, said a good example was the current exploration of oil and gas being carried out in the lake, where the contract was signed in Dodoma without involving villagers living along the shore of Lake Tanganyika .

This made them fear that investors were stealing from them minerals extracted from the lake. The TPDC geologist who serves as a Senior Public Relations Official, Mr Sebastian Shana, told the gathering that Beach Petroleum (T) Ltd has so far carried out studies on seismic acquisition gravity and magnet which will later be followed by mate ocean studies as part of its exploration of oil and gas in the lake.

"So, it is not true to say that the company is extracting oil and gas from the lake, but it simply carry out exploration and scientific studies which will in future determine whether there is oil and gas or not ….. the undertaking is very expensive and take years," he added. The Nkasi District Commissioner, Mr Iddy Kimanta, called upon the people in the area to be patient and cooperate with the investors whose undertaking will be of great advantage not only to the district, but also to the whole nation at large.

"I take this opportunity to assure residents in the district particularly those living along the shore of Lake Tanganyika that so far there is no oil or gas being extracted from the lake, the company is only carrying out oil and gas exploration," added the DC.

By PETI SIYAME, Tanzania Daily News




267636_367962259956390_198626753_n.jpg




Ndio SIRI za CHAMA TAWALA na SERIKALI yake.... Wananchi Wanapata Makombo Mabovu...





 
why CCM Government is trying to hide the reality and leave the masses in the dark about what's going on LAKE TANGANYIKA? transparently that hey need to involve the public on various important contracts they enter into with investors, both local and foreigners, particularly those that directly affect them in an effort to curb unnecessary disputes that might arise between them. Contributing on the subject, a council; We tried to HIDE any country success or wealth is it for the reasons of benefiting a few within the SYSTEM???

Sasa Kwanini CCM ina JEMBE na NYUNDO?
​
 
Mkuu nngu007 haya mambo haya
waulize wakazi wa Gombe pale Kigoma kuna watafiti wamekaa mle miaka na miaka wanafanya utafiti ila kilichoko nyuma ya pazia ni mambo ya aibu
Tutaendelea kuambiwa hayo hayo itachukua miaka 15 kuweka kisima cha kwanza ila hao watafiti wanaendelea kuwepo kwenye hilo eneo kwa miaka yote 15 na wanatumia pesa na gharama kibao
Mikataba waliyoingia ni siri nzito ambayo mimi na wewe Mtanzania wa kawaida kuiona ni issue
 
Last edited by a moderator:
Huwa siamini kama hawa watu ni vichaa usikute mnawatumia baadhi ya watoto wao kukwapua utajiri wa ilo ziwa ndo maana wanasema hayo usikute mengine wameyashuhudia kwa macho yao
Tz ya sasa lolote laweza tokea!
 
Hakuna sera wala sheria zimetungwa kwa ajili ya gesi na mafuta. Serikali wenyewe inakiri hivyo. Hii nchi sijui tumerogwa kiasi gani lo! Kweli Tanzania by itself ni ajabu ya dunia
 
Mkuu nngu007 haya mambo haya
waulize wakazi wa Gombe pale Kigoma kuna watafiti wamekaa mle miaka na miaka wanafanya utafiti ila kilichoko nyuma ya pazia ni mambo ya aibu
Tutaendelea kuambiwa hayo hayo itachukua miaka 15 kuweka kisima cha kwanza ila hao watafiti wanaendelea kuwepo kwenye hilo eneo kwa miaka yote 15 na wanatumia pesa na gharama kibao
Mikataba waliyoingia ni siri nzito ambayo mimi na wewe Mtanzania wa kawaida kuiona ni issue


Ndio ni kweli Unavyosema; na Wananchi wanataka kujua Kwanini Wanatumia MV.MWONGOZO kila wakati ikienda eneo hilo inatoka IMEJAA MADINI na VIFURUSHI... Lakini Mkuu wa Wilaya hata Viongozi wa Serikali hawesemi chochote?

Ndio hayo hayo yalitupata wakati wa MIKATABA MIBOVU ya MADINI ya DHAHABU...

Ni Wale tu walio Central Commitee ya CCM ndio Wanajua UTAJIRI wa NCHI
 


Ndio ni kweli Unavyosema; na Wananchi wanataka kujua Kwanini Wanatumia MV.MWONGOZO kila wakati ikienda eneo hilo inatoka IMEJAA MADINI na VIFURUSHI... Lakini Mkuu wa Wilaya hata Viongozi wa Serikali hawesemi chochote?

Ndio hayo hayo yalitupata wakati wa MIKATABA MIBOVU ya MADINI ya DHAHABU...

Ni Wale tu walio Central Commitee ya CCM ndio Wanajua UTAJIRI wa NCHI

Mkuu @nguu007 nchi hii iache kama ilivyo ina mambo mengi yaliyojificha na ambayo yapo sirini
na wanaofaidi na kuyajua ni wachache sana na hiyo mikataba ndo maana wanaiweka siri ili tusijue consideration yake ni nini na faida zakekwa watanzania haswa wa maeneo hayo ambako madini na gesi na hayo mafuta yanatoka ni nini
Sio kujengewa darasa moja kwa mwaka au kupewa mashuka kwenye hospital ndio ionekane wametoa msaada
 
Bila kuwa na sheria ya mafuta na gesi serikali inatoaje vibali vya uchimbaji au ndo yale mapesa ya uswisi waliyohongwa viongozi wetu?Watanzania muda wa kudai haki umefika,katiba mpya na kisanduku cha kura uwe mwanzo wa kuwatoa walafi.
 
"It is very sad that even after holding several meetings with residents of villages along the shores of the lake particularly in Nkasi district, they continue to spread baseless reports that soldiers are using MV Mwongozo to deprive them minerals extracted deep down the lake. The story is not true at all, the truth is we are still exploring oil and gas in Lake Tanganyika and at times we used MV Mwongozo during the exercise and not otherwise, the big challenge we are currently facing is lack of understanding among the residents.
Hakuna kitu kama hicho... siku hizi watanzania wameamka, wanapoibiwa si tu kuwa wanajua kuwa wanaibiwa, bali wanapiga kelele za mwizi pia. Nani kakudanganya kuwa there is lack of understansing among the residents? Au kwa kuwa umewaona kuwa ni wanakijiji unadhani kuwa hajui kitu? Haibiwi mtu kirahisi siku hizi
 
tanzania ni zaidi ya uijuavo. TPDC watuambie ukomo wa kuipa kampuni exploration licence
watuambie stipulated fee ya exploration, inashangaza kampuni inapewa expolaration licence na production licence at the same time.
kwanza Tanzania sheria zetu zimekaa kimagumashi zaidi
ndio maana wachache wakapata mwanya wa kufaidikia na fedha za gesi na mafuta wakaziweka uswizi
ni kituko na ni nchi pekee dunia kampuni inapewa unlimited time ya exploration
na ukishaipa kampuni explration na production licence at the same time anakuwa na monopoly katika eneo husika
atakaumbia hajavumbua kumbe anachimba na kuondoka na mali ghafi kama ilivo kwenye madini tunaibiwa kwa njia hiyo.
Bila kuwa na sheria madhubuti bado tutaibiwa tu.
hatujui ukomo wa leseni ya utafiti
hatujui wanalipa kiasi gani kama kodi serikali wakati wa utafiti na kuchimba
hatujui mafuta yatatufaidisha vipi watanzania
Bila kuwa na new Petroleum and Gass Act
Petroleum and Gas Regulations, Petroleum Taxation Act pamoja na sheria zingine zihusianazo na rasilimali za bahari
tutazidi kuibwa.Tena hizi sheria ziandaliwe na watu waliobobea katika mafuta na gesi na sio vihiyo
hata tutafika mbali
 
Back
Top Bottom