Lake Tanganyika boat accident: At least 129 dead after capsize in Democratic Republic of Congo

mukizahp2

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
706
377
Ship capsizes in Lake Tanganyika killing over 100

At least 129 men, women and children are feared dead after an overloaded boat sank in Lake Tanganyika in the south-east of the Democratic Republic of the Congo.

Over two hundred survivors, mostly men,
were picked up, many of whom had survived by clinging to wreckage.

The overloading and strong winds are being blamed for the accident. The figures have been dramatically scaled up since initial reports.

Chanzo:
euronews
 
Acha kuandika habari 'sensitive' bila source, wala jina la meli. I pray God iwe ni uzushi tu.
 
[h=1]Ship capsizes in Lake Tanganyika killing over 100[/h]
At least 129 men, women and children are feared dead after an overloaded boat sank in Lake Tanganyika in the south-east of the Democratic Republic of the Congo.
Over two hundred survivors, mostly men,
were picked up, many of whom had survived by clinging to wreckage.
The overloading and strong winds are being blamed for the accident. The figures have been dramatically scaled up since initial reports.
 
Ni meli gani? Na ilikuwa imebeba watu kutoka wapi kwenda wapi? Au basi ni watu wa nchi gani?
 
Acha kuandika habari 'sensitive' bila source, wala jina la meli. I pray God iwe ni uzushi tu.
The report is very credible and the accident involved a Vessel known as Mv.Mtambala which was heading to Kalemie port in DRC from another town known as Moba.
 
Acha kuandika habari 'sensitive' bila source, wala jina la meli. I pray God iwe ni uzushi tu.

Confirmed: ni Mv Mutambala ya kongo iliyokuwa inafanya safari zake kivu na katanga ziwa tanganyika, its now estimated that over 130 peaple are dead. R.i.p
 
Confirmed: ni Mv Mutambala ya kongo iliyokuwa inafanya safari zake kivu na katanga ziwa tanganyika, its now estimated that over 130 peaple are dead. R.i.p

Duh! Hizi ajali za boti na meli huwa zinatisha sana, likizingua tu kinachoweza kukuokoa ni Uwezo wako wa kuogelea tu. Inatosha sana.
Ova
 
When we sleep at night we take off our clothes, yes we exercise our own deaths! Kikubwa sana kupita yote na cha kujiuliza kila mmoja nafsini mwake ".....nitaenda wapi baada ya kufa....?", uzimani au mautini? BWANA Mungu atufundishe na atujulishe kuzihesabu siku zetu, rest in eternal peace our brothers and sisters in the DRC
 
Aiseee kama kuna watu huwa wanafuatilia documentaries kuna hio moja ya Meli ya Congo aiseee ni nouma. Kwanza kabla ya kuanza safari inabidi wasali, ni safari ya siku saba lakini huwa wanasafiri hadi siku kumi na nne! Ukiiona utajua ni scraper kumbe dude linapiga mzigo. Nadhani inaitwa The Boat, Congo river. Ngoja nitai-google niiweke hapa
 
Back
Top Bottom