Lake Nyasa dispute: Malawi to hire British lawyers

Katika swala hili hawahitajiki wasomi saaaana! Kwani logic na common sense zinatosha! Wamalawi wameuziwa mbuzi kwenye gunia!

Logic? Watanzania as usual. Maswali magumu, majibu mepesi.
Majibu yale yale ya kupigwa na kitu kizito.
By the way siyo "swala" bali ni "suala".
Hata mie nilisahihishwa humu humu ndani.
 
Sisi tutapeleka vijana wadogo tu kutoka Lawschool wataimaliza hiyo issue iko wazi wala haina shida...huyu mama wacha atangetange kwanza...
 
Sisi tutapeleka vijana wadogo tu kutoka Lawschool wataimaliza hiyo issue iko wazi wala haina shida...huyu mama wacha atangetange kwanza...

Yea, tukipigwa bao msije kutoa povu hapa eti tulipeka tuliajiri vilaza kama zile kesi za Dowans.

Every issue should be taken seriously hata kama iko wazi.
 
Kazi kwelikweli. Malawi wanajifagaragua tu. Ni uendawazimu kuamini kuwa ziwa lote ni la Malawi. Yaani mimi nikitaka kuchota maji ziwa Nyasa ni lazima niombe ruhusa malawi. Thubutu!
Ukicheka na kima utavuna mabua!
 
Logic? Watanzania as usual. Maswali magumu, majibu mepesi.
Majibu yale yale ya kupigwa na kitu kizito.
By the way siyo "swala" bali ni "suala".
Hata mie nilisahihishwa humu humu ndani.

Asante kwa kunipa kiswahili fasaha. Hata hivyo sidhani kama suala hili lina uzito mkubwa kiasi hicho! Wamalawi wanapaswa kuelewa maji ni haki ya msingi ya kila mtu hivyo po pote pale yalipo maji kama mpaka ni budi yatumike kwa usawa kwa wote.
 
spidi ya huyo mama haimfikishi popote

anaweza hata asimalize muda wake wa uongozi
 
Logic na common sense vinaweza kutosha kwa kuelewa ukweli ulipo ila ultimately wasomi na wataalam wa haliya juu ndio wataeleza why despite the fact that it looks obvious there are "other factors to be considered". Na Tanzania isipojipanga sawa sawa inaweza ikashindwa hoja.
Ni kweli lakini hakuna hoja yo yote inayoweza kutolewa ikatuondolea haki yetu ya msingi ya kutumia maji!
 
Uwezekano wa Malawi kupata 100% ya ziwa ni mdogo, uwezekano mkubwa ni wamalawi kupata more than 50%.
 
Asante kwa kunipa kiswahili fasaha. Hata hivyo sidhani kama suala hili lina uzito mkubwa kiasi hicho! Wamalawi wanapaswa kuelewa maji ni haki ya msingi ya kila mtu hivyo po pote pale yalipo maji kama mpaka ni budi yatumike kwa usawa kwa wote.

Mkuu it does not matter whether or not suala lina uzito gani.

Kitu cha muhimu ni kulichukulia hili suala kwa uzito mkubwa.

Suala siyo kuwa Wamalawi wanapaswa kuelewa maji ni haki ya msingi ya kila mtu.

Suala ni kwamba sheria inasemaje kuhusiana na huu mpaka.

Kama sheria inasema vingenevyo, hutaipata hiyo haki yako

Pia haki inatafutwa na kulindwa. Siyo unakaa pale tuu ukitegemea wengine wataitambua na kuilinda haki yako ya maji.

You have to fight for your rights Mkuu.

Hata hivyo bado naweza kupingana na wewe kwamba hili siyo suala zito.

Linapokuja sula la mipaka ya nchi lazima lichukuliwe kwa uzito mkubwa.

Hakuna suala zito kama nchi nyingine kudai sehemu ya nchi yako ni yao.

Angalia migogoro mingi ya mipaka ya nchi duniani ambayo mingi imeishia mpaka kupigana vita.

Tuachanene na tabia ya kuchukulia masuala kimzaha mzaha halafu baadae tunaishia kuja kulalama tuu pale mambo yanavyoenda kombo.

Every matter regardless of how small it is should be taken seriously.
 
Logic? Watanzania as usual. Maswali magumu, majibu mepesi.
Majibu yale yale ya kupigwa na kitu kizito.
By the way siyo "swala" bali ni "suala".
Hata mie nilisahihishwa humu humu ndani.

As always I agree with you (on the fact that we need to take it with the seriousness it deserves and not say mambo yako wazi). Out of topic, hapo bold namna zote mbili ni sahihi. Hakuna kosa hapo (ingawa kuna "mtu" alinambia swala ni yule mnyama herbivore wa savana, tukabishana bila kukubaliana)
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hivi wazee wa Sumbawanga wameshindwa kabisa kututengenezea ulinzi ziwani? Walipue visima vyote vya mafuta kwa mabomu ya kienyeji?
 
As always I agree with you (on the fact that we need to take it with the seriousness it deserves and not say mambo yako wazi). Out of topic, hapo bold namna zote mbili ni sahihi. Hakuna kosa hapo (ingawa kuna "mtu" alinambia swala ni yule mnyama herbivore wa savana, tukabishana bila kukubaliana)

Watanzania tuna tabia ya ku-brush off issues.

Mwanzoni nilidhani ni kwa masula ya ndani ya nchi lakini sasa nashughudia hata kwenye masuala ya kimataifa tena yanayohusiana na mipaka ya nchi.

Kwenye ile kesi ya Dowans ICC tulipeleka wanasheria ambao sidhani kama walikuwa specialists kwenye yake masuala. Watu wengine walidhani tutashinda kesi kiulani kwa sababu issues zilikuwa straight forwards. Lakini tukapigwa bao la kisigino. Watu wakaja hapa wakatoa povu weeeee.

Sasa na hii issue ya mpaka na Mawawi kuna mpaka wengine wanasema kuwa tutawapeleka recent graduates wa law watai-solve.

Hapo out of topic, nimeamua kufufua thread ya mwaka 47: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/8527-ni-suala-au-swala.html
 
Hapa issue siyo kiingereza, ni Legal Interpretation ndiyo itakayotumika kuhalalisha mambo, ukisoamA comments za wana Nyasa kwenye Nyasa Times, wanawakashifu wa Tz kuwa hawajui kiingereza, leo imekuwaje wao wakimbilie kwa Waingereza, hii inaitwa Mfa Maji haachi kutapatapa, kumbuka kuwa, Tz haitakuwa tayari kuloachia hili ziwa!

Ni kweli mkuu, cha muhimu hapa ni tusipoteze muda mwingi kwenye legal wrangle - kama mafuta/gas hipo kwenye ziwa twende tukachimbe upande wetu wa ZIWA, alafu tuone watafanya nini! Tukipendekeza uzabazabina wa Waingereza tutapoteza MUDA.
 
Hawa jamaa sijui wanatutaka nini jamani!! Hivi kweli kabisa hawataki watanzania wa pwani ya ziwa nyasa wayatumie maji ya ziwa nyasa?
 
katika nchi moja wapo zilizoshiriki kugawa africa waingereza walikuwepo ,sionin kipya hapa kila kitu wanacho pengine wanataka kugawa tena malawi na tanzania ,walisahau baadhi ya vitu kuviweka
 
Mkapa is still alive muombeni awe kwenye hiyo team; anajua kiingereza na anaweza kujenga hoja , afterall alikuwa waziri wa mambo ya nje kwa muda mrefu!! Tatizo la DHAIFU ataogopa kufanya hivyo!!!!!!
 
new_tanzanian_map_200_200.jpg


Malawi Government plans to hire a team of lawyers that will include an unspecified number of British lawyers to help draft a legal paper to back her claims on Lake Malawi border dispute with neighbouring Tanzania.

The legal paper to be drafted shall be used by Malawi in the forth-coming round table talks with Tanzania, senior government sources said.

The sources confided in The Daily Times yesterday that the government has not yet settled for the exact number of the British lawyers to be hired, but it acknowledged that the foreign lawyers are expensive to acquire.

In a separate interview on Monday, Solicitor General and Principal Secretary for Justice Anthony Kamanga said he would not immediately give the names of the British lawyer, but was aware of the development.

"I can confirm that. We are in process of assembling the team. However, I can not divulge the names of the people who will make up the team," Kamanga said.

Malawi is expected to come up with a legal opinion for use during the next round of talks with Tanzania expected to resume soon.

Our government sources said besides the British lawyers, the Malawi legal team will also comprise the Attorney General and Justice Minister, the Solicitor General, a senior lawyer from Justice Department and a law expert from the academia.

The talks were suspended earlier as government reacted to Tanzania's decision to issue a new map in the middle of the talks and placing of a patrol boat on the lake which allegedly chased Malawian fishermen.

Despite assurances from Tanzania that the boat was from its fisheries department and will not interfere with Malawians, Tanzania's Prime Minister Mizenga Pinda went on to tell the BBC that Malawi and its citizens must ensure that they only concentrate on their side of the lake during fishing and oil exploration activities.

Recently, Lilongwe also announced it will be taking the wrangle to the International Court of Justice (ICJ).

Tanzania is reported in the media to have requested for further talks on the border issue.

Meanwhile, Malawi Government has insisted it will do everything within its powers to defend its territorial boundaries that were duly laid down at the time when country gained independence in 1964.

A Malawi News Agency report quotes Minister of Defence Ken Kandodo as making the assurance in Kasungu last Thursday.

Kandodo said Malawians living along Lake Malawi in the border district of Karonga need not fear for their safety as the wrangle between Malawi and Tanzania over the lake rages on, saying government is ready to protect them.

"We are ready to defend our territory. The boundaries were already duly set at the time of independence," Kandodo said.

Malawi's border with Tanzania spans to the shores of the northern and north eastern part of Lake Malawi.

However, Tanzania is agitating to share half of the lake at the northern tip.

Tanzania this month surprised Malawi when it issued a new map eating into the lake, saying it marked establishment of new regions of the country, prompting Malawi to suspend talks until Tanzania clarified the issue.

According to The Journal of African Studies published in 1973, founding Tanzanian president Julius Nyerere did not pursue the border issue further after his Malawian counterpart Dr Hastings Kamuzu Banda insisted that the matter was not open for negotiations and that any decision by Tanzania to authorise demarcations on the lake would be considered as an invasion.


Source: TZ-MALAWI BORDER WRANGLE:Govt to hire UK lawyers

i AGREE HAPO KWENYE RED......THEY SHOULD FEEL THE TEST OF DENYING OUR CITIZENS THE RIGHT FROM THE CREATOR...... MBONA WAO WANALALAMA?
 
Back
Top Bottom