Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

mzee wa megawatt ni ngeleja, utasikia anavyotaja miradi ya umeme, somanga fungo, mara kiwira mara utasikia mchuchuma mara ubungo lakini hakuna umeme ni porojo tu

umwagiliaji je?

kama maji hayakauki na kuzalisha umeme ni moja ya msamiati usiokuwepo kwenye Dictionary zatu. Naomba kujua kama yanafaa katika kilimo cha mboga mboga
 
Niliwahi kusikia kuwa Lipo ziwa linaitwa DULUTI huko Arusha maeneo ya Tengeru kuwa linaendana tabia na hili ngozi.
Hilo ziwa (Duluti) halitoi maji wala hakuna mto unaoingiza maji lakini iwe masika iwe kiangazi maji hayaongezeki wala kupungua, pia kina chake hakijulikani.
Sijui kitaalam hii ikoje.

Nilishawahi sikia zamani sana kwa Geologist mmoja kuwa Lake Duluti, Lake Ngozi na maziwa mengine mengi yana connections ambazo zipo chini ya ardhi. Ni kama mito inayoflow chini ya ardhi ambayo huenda kumwaga maji yake mostly in the Oceans. Ngoja nitafute more dataz, nitarudi baadaye
 
yah ni kweli kabisa mazee na lina dhahabu ndani yake na kuna samaki wana manyoya kuna wazungu wengi tu wanakufa wanajaribu kwenda chini kuchukua mali zile ila inashindikana wanakufa we njoo mb utapata full story na liliama baada ya kuchoma moja jiwe kwa week 4 likawa jekundu kama nyanya ndo kesho lake likaaama mazee
 
kama kuna mali kiasi hichi kwa nini msifanye jitihada za kutumia nguvu za kichawi kufata huo mzigo?
 
huo mzigo hawataupata labda wawaconsult mababu inaelekea wamepazindika ili wazungu wasichukue mali zetu.

ila kama ni kisayansi ya wazungu basi zitapatikana namna ya kuchukuliwa tu hizo mali tuchangamke wenyewe kabla hawajaja na hiyo namna.
 
yah ni kweli kabisa mazee na lina dhahabu ndani yake na kuna samaki wana manyoya kuna wazungu wengi tu wanakufa wanajaribu kwenda chini kuchukua mali zile ila inashindikana wanakufa we njoo mb utapata full story na liliama baada ya kuchoma moja jiwe kwa week 4 likawa jekundu kama nyanya ndo kesho lake likaaama mazee

siyo mambo ya chemchem za moto ndio imesababisha kuchoma mawe yakawa mekundu hivyo na kuhama sio mambo ya movement za plates za chini ya ardhi? lilihama kutoka wapi kwenda wapi
maanna loliondo kunamchanga unaohama ndivyo wanavyoita ila ni upepo ukielekea huko basi ule mchanga unajikusanya taratibutaratibu na kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine tena si hatua nyingi. ila kama ziwa liliama kutoka posta hivi hadi kimara pana jambo.
 
Lilihama toka mbali sana mkuu, nadhani ni kama toka Ubungo(Dar) mpaka Chalinze hivi, nasikia lilikuwa na maajabu zamani lakini siku hizi lipo tu na halina maajabu. Nimewahi kwenda kutembelea na nimeoga kabisa ila maji ni mazito sana na kwa asilimia kubwa chini ni matope. Nikitulia na nikiwa kwenye pc ntaweka na picha kabisa maana zipo nyingi tu.
 
Ni tourist attraction, ila ukiwa ufukweni usiongee kinyakyusa kwa kuwa kwa imani zao ni kwamba lilifukuzwa toka huko. Kwa hiyo halipendi kusikia kinyakyusa

Hilo kutoongea kinyakyusa nadhani ni historia za zamani, kwa sasa lugha yoyote unayoitumia unaongea tuu hata ukiwa kwenye maji ya ziwa hilo. Mimi binafsi nimewahi kuoga na ni mnyaki, kuna kipindi tumewahi kwenda tour na kutoka Mbeya na tulikuwa tunatumia karibia lugha zote tulizokuwa tunazifahamu (tulikuwa kama kumi hivi).
 
ziwa hilo lina ingiza tuu maji na hali toi maji kwa sababu liko katikati ya milima alafu halina ufukwe kwani ukiwa ukingini kabisa uka jalibu kupima kuna ni parefu na haijulikani ni mita ngapi kwenda chini kwa hivyo huwezi kuogelea kwenye ziwa hilo lililoko maeneo ya upoloto ukiwa una toka Mbeya una shuka kituo kina itwa nymbe one alafu una tembea kilomita 12 ili kufika ziwani

NUMBER ONE (Namba wani au Idweli)
 
Sasa kama hautakiwi kuongea Kinyaki so ni lugha gani ya kutumia ya wenyeji KISAFWA au English?
Mkuu Caldera ni shimo litokanalo na milipuko ya kivolcano.
Geothermal ni chem chem za maji ya moto ardhini ambazo hutokana na volcanic activities bila shaka ni goegraphy ya form 3 on Vulcanicity.

Hilo la kutoongea kinyakyusa ukiwa pale ziwani ni story za zamani. Siku hizi unaongea lugha yoyote ile unayoweza kutumia. Jamani katembeleeni mkiweza ili mkajionee wenyewe.
 
Maji yanatumika sana tu!Nilifika mpaka katika eneo lenye maji kule chini.

Ulifuata nini huko!,
Wewe ni mtafiti! Kwa sababu bila kulipwa au kuwa na lengo la maana kama kujifunza huwezi fika huko, hakuna barabara nzuri ya kufika huko kileleni. Ni umbali wa Km nyingi, za kutembea kwa miguu,na kuna msitu mkubwa sana, na mwinuko na makorongo vilevile
 
Back
Top Bottom