Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nazjaz, May 1, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  image.jpeg

  Ziwa hili liko Mbeya kwenye milima ya Uporoto.

  Linatajwa kuwa ni ziwa la pili kwa ukubwa katika maziwa yanayopatikana kwenye kreta Afrika.

  Wenyeji wanalihusisha ziwa hili na imani za kishirikina.

  Wanadai lilipigwa mawe na likahamishwa kutoka Masoko Tukuyu na kwenda kujikita Uporoto.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
 3. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Hilo ziwa nshawahi kulisikia, eti wazungu walienda kufanya uchunguzi wakazama. Wakaenda kundi jingine wakajifunga minyororo ya chuma kwenye miti kisha wakaingia ziwani, minyororo ikakatika, wakazama.
   
 4. D

  Dwork1 Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ziwa hilo lina ingiza tuu maji na hali toi maji kwa sababu liko katikati ya milima alafu halina ufukwe kwani ukiwa ukingini kabisa uka jalibu kupima kuna ni parefu na haijulikani ni mita ngapi kwenda chini kwa hivyo huwezi kuogelea kwenye ziwa hilo lililoko maeneo ya upoloto ukiwa una toka Mbeya una shuka kituo kina itwa nymbe one alafu una tembea kilomita 12 ili kufika ziwani
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  ni kwelo kuwa watu wanaonekana wakitembea ndani ya maji?
   
 6. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  lake ngozi, rungwe mbeya.jpg

  Lake ngozi, rungwe mbeya
   
 7. General mex

  General mex Senior Member

  #7
  May 2, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mi ningependa kujua, kuna watu wanaotumia maji yake? Au hata maji hayafai kutumia?!
   
 8. S

  Speedo Member

  #8
  May 2, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  Niliwahi kusikia kuwa Lipo ziwa linaitwa DULUTI huko Arusha maeneo ya Tengeru kuwa linaendana tabia na hili ngozi.
  Hilo ziwa (Duluti) halitoi maji wala hakuna mto unaoingiza maji lakini iwe masika iwe kiangazi maji hayaongezeki wala kupungua, pia kina chake hakijulikani.
  Sijui kitaalam hii ikoje.
   
 9. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #9
  May 2, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Duuh!..
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
 11. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  bora walifukie tu
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama ni cadela lake unaweza peleka maloli ata millioni ya mchanga ukashangaa bado haujaweza lifukia.
  Kuna potential ya kulitumia kwa ajili ya geothermal power!
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mhh sawa ila lugha hiyo
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani...
   
 15. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ni tourist attraction, ila ukiwa ufukweni usiongee kinyakyusa kwa kuwa kwa imani zao ni kwamba lilifukuzwa toka huko. Kwa hiyo halipendi kusikia kinyakyusa
   
 16. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tunasubiri wazungu waje wafanye uchunguzi wa hayo maziwa,kisha watayapa majina ya kikwao.
  Kama vile Tz hakuna wataalam.Tutafika?
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sasa kama hautakiwi kuongea Kinyaki so ni lugha gani ya kutumia ya wenyeji KISAFWA au English?
  Mkuu Caldera ni shimo litokanalo na milipuko ya kivolcano.
  Geothermal ni chem chem za maji ya moto ardhini ambazo hutokana na volcanic activities bila shaka ni goegraphy ya form 3 on Vulcanicity.
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mzee wa Megawati peleka mitambo yako watu wale Umeme...
   
 19. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maji yanatumika sana tu!Nilifika mpaka katika eneo lenye maji kule chini.
   
 20. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mzee wa megawatt ni ngeleja, utasikia anavyotaja miradi ya umeme, somanga fungo, mara kiwira mara utasikia mchuchuma mara ubungo lakini hakuna umeme ni porojo tu
   
Loading...