Lake belongs to Malawi, UK letters reveal

Natamani JK angetoa kauli moja tu kwa Wamalawi.

'As it has always been our stance. The border in Lake Nyasa is at the median of the lake. And this is non-negotiable.'

Lakini hapa najiona TS naota ndoto za mchana. Mkulu kaamua kujifanya Mr. Nice guy na ndo maana hawa Wamalawi wanaendeleza choko choko. Suala sio eneo tu la ziwa kama sehemu ya ardhi. Suala kubwa kuliko ni maji. Na maji ndio the next commodity for scrambe in the world in the coming years after land, minerals and gas/oil.
 
Raisi wetu anahangaikia kusafiri marekani na kanada kila kukicha huku nyuma mgogoro unazidi kuongezeka. Jamani serikali hii itafanya haya hadi lini?
 
''Kwa uzoefu wangu Wizara za mambo ya nje hazijawahi kufanikiwa kutatua matatizo ya mipaka hapa Afrika. Ni mimi niliyekuwa waziri wa mambo ya nje wakati Idd Amin alipoanza chokochoko zake. Nilifanya mazungumzo ya mara kwa mara na serikali ya Uganda bila mafanikio. Tukagundua kuwa dawa ya matatizo ya mipaka hufanikiwa ukiitumia wizara ya ulinzi tu. Tukawatuma vijana wetu wakawachapa mpaka waliposhika adabu wakaheshimu mipaka iliyowekwa. Na hawa Rwanda ndivyo tutakavyowafanya wakiendelea na madai yao ya kudai Ngara iko Rwanda'' Mikwara ya Waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais John Samuel Malecela 1994. Rwanda wakanywea. Mtoto wa mkulima mikwara hajui?
 
Yaani apo adi tutandike mtu kama tulivyo fanya kwa iddi amin!

Tukikalia longolongo ziwa linakwenda mchana kweupe!

Watandikwe waache ujinga wao. Huyo demu baada ya kukubali sera za kikameroon amekuwa na kichwa kikubwa sana,
kama tulivyomkimbiza nduli huyu tutamchukua tumkabidhi kwa vijana pale kinondoni wamfanyizie.
 
Ushahidi wote huu lazima tuwapige bao Wamalawi. Halafu pale namba nne kumbe tunaweza kwa ubabe tu tukasema hatuendi ICJ
[h=1]
1."This position notwithstanding, the memo points out that it might be argued that the definitions of the agreement of 1890 are in terms of “spheres of influence and that these may not necessarily entail definitive territorial boundaries.”
2."The second conclusion was “that the Tanzanians would have a stronger case for a redefinition of the boundary if they had based this on grounds not of international law, but of equity.”
3." The most blatant error, according to the communication, is contained in the map included in the White Paper issued in 1953 on the conference on the Federation of Southern Rhodesia, Northern Rhodesia and Nyasaland, which shows the border running down the median of Lake Nyasa between Nyasaland and Tanganyika."
4."But Chancellor College international law expert, Dr. Mwiza Nkhata, said in an interview soon after the talks that the world court would not automatically decide on the matter because Tanzania did not give compulsory jurisdiction to the court on interpretation of treaties and questions on international law.
"
 
Back
Top Bottom