Laizer: Nchi hii ukiwa mwezi ndio unapewa promotion.

Mzee Uchwara

Senior Member
Oct 28, 2013
119
35
Akichangia bungeni leo mbunge laizer akichangia kwa uchungu, ubadhilifu unaoendela kutokea katika almashauri zetu nchini na wahusika kutofanywa chochote na kuamishwa na kupeleka sehemu nyingine. Je kweli serikari ina nia ya dhati? Nawasilisha.
 
Kuna uzi umeondolewa humu ambapo Naibu Spika amewafananisha Wabunge wa CCM na woh woh woh!
 
Back
Top Bottom