Laiti viongozi wetu wangeweka ubunifu kwenye kuendeleza masomo ya Sayansi na Hisabati kuanzia O-level hadi A-level

caridas

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
229
500
Nadhani serkali haijaamua kuwekeza katika elimu ipasavyo, wanapromote masomo ya sayansi na hesabu lakini ikifika level ya chuo wanawatelekeza ama kuweka vigezo vigumu na kudai nafasi ni chache, wanafunz wengi wapo mtaani wamekosa udahili hasa kwa kada za afya huku wakiwa na ufaulu mzuri, hatuna malengo madhubuti juu ya elimu yetu, kurekebisha mitaala ili iendane na changamoto zilizopo ni jambo linalopaswa kupewa kipaumbele
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,584
2,000

Tuanze ku lobby hili lisikike. Enzi za mwalimu vijana walipata scholarships kwenda nchi za kijamaa. Hili lilisaidia kuendeleza elimu ya juu. Wana diplomas is hili linaweza kuongelewa tena?
 
caridas

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
229
500
Tuanze ku lobby hili lisikike. Enzi za mwalimu vijana walipata scholarships kwenda nchi za kijamaa. Hili lilisaidia kuendeleza elimu ya juu. Wana diplomas is hili linaweza kuongelewa tena?
Yes, kupaza sauti ni jukumu letu kama tunalitakia taifa maendeleo ya sayans na teknolojia, mjadala kama huu aliuibua Mh. Mkapa alipokuwa UDOM, ulijadiliwa juu juu tu, ukapotea, leo scholarship ni juhudi binafsi za mhusika na si serkali tena, vijana wanaohitimu kidato cha sita na kuongoza kitaifa kwa miaka ya karibuni wapo hapo Muhimbili(muhas),ama Udsm. hii inaua morali ya kujituma na kupambana kwa walioko mashuleni, hata ule utaratibu wa kuwaita wale top 20 bungeni umepotea.
Hakuna asiejua exposure ilivyo muhimu kielimu na maendeleo, wajifunze Wachina na Wajapan walivyosambaza watu wao ktk mataifa yaliyoendelea kwenda kuvuna ujuzi na leo hii wako wapi.
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
7,602
2,000
Hapo ndiyo tunapokosea.
Mwanasayansi bora na mzuri hutengenezwa na masomo ya arts tangia utotoni. Masomo yo arts ndiyo yanayochochea uelewa mzuri na bora wa masomo ya sayansi.
Ndiyo maana wanasayansi wa US wana out perform wanasayansi wa nchi nyingi, au karibu zote duniani.
Kwa sababu US masomo ya arts ni muhimu na lazima kabla hujapewa degree yeyote ya sayansi.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,584
2,000
Yes, kupaza sauti ni jukumu letu kama tunalitakia taifa maendeleo ya sayans na teknolojia, mjadala kama huu aliuibua Mh. Mkapa alipokuwa UDOM, ulijadiliwa juu juu tu, ukapotea, leo scholarship ni juhudi binafsi za mhusika na si serkali tena, vijana wanaohitimu kidato cha sita na kuongoza kitaifa kwa miaka ya karibuni wapo hapo Muhimbili(muhas),ama Udsm. hii inaua morali ya kujituma na kupambana kwa walioko mashuleni, hata ule utaratibu wa kuwaita wale top 20 bungeni umepotea.
Hakuna asiejua exposure ilivyo muhimu kielimu na maendeleo, wajifunze Wachina na Wajapan walivyosambaza watu wao ktk mataifa yaliyoendelea kwenda kuvuna ujuzi na leo hii wako wapi.
Nilikutana na Wabotswana miaka Minho kidogo, wao walichukuliwa top 💯 W alipelekwa UK na USA kwa gharama za serikali. Vijana walipigana sana kuwa katika ile top 100.
Siwezi julinganisha na sisi kwanza nchi yao ni ndogo na wana mapato ya madini yanawanufaisha wao kwa 90% hawana mikataba mibovu kama ya kwetu.

Lakini hata ingekuwa top 10 basi wanatolewa nje. Morality ingekuwepo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom