Laiti viongozi wangenunuliwa kwa mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laiti viongozi wangenunuliwa kwa mkopo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by sem2708, Oct 18, 2011.

 1. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Wana JF,mnaonaje viongozi wangenunuliwa na kuuzwa kwa mkopo kama kwenye mchezo wa mpira?
  viongozi gani unadhani wangeuzwa nje kwa mkopo na wengine kununuliwa kuinua hali ya sasa ya kiuchumi?

  wa kuuzwa nje:
  1.
  2.
  3....
  4.
  5.  wa kununua toka nje
  1.
  2.
  3.
   
 2. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  wa kuuzwa nje:
  1.Mkulo(ameshindwa kuinua uchumi) ila sijui nchi gani ingemnunua
   
 3. pitbull

  pitbull JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  ngeleja angechukuliwa kwa mkopo somalia
   
 4. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Mzee wa hekaya tungewakopesha china
   
Loading...