Laiti kwa wenye wake wangeyaona haya ndoa zingekufa leo

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,384
980
wanajamvi
Kuna kauchunguzi nimefanya nikagungua kuwa wake za watu wanachart na wanaume ambao siyo waume zao kwa maneno magumu magumu kiasi WANAUME zao wangeziona ndoa zote zingesimama Leo na karibia kila nyumba yenye ndoa ingekuwa na msiba au ndoa nyingi zingekufa kibudu

Mfano nina wake wa watu wanne tunachart whatsp,na messenger hykaMungu ZINATISHA wananitumia had I picha mbovu nabaki nashangaa tu na huwa nawauliza endapo waume zao wakiziona itakuwaje wanasema KILA UKITUMA nafuta hivyo hawezi kuziona
Huwa nawashangaa sana wale wanaume wanaosema hawafuatilii nyendo za wake zao no muhimu sana kufuatilia kwa kiasi flani halo kashalika mwanamke naye yampasa kumfuatilia mumewe kwa kiasi flan ILI ASIJISAHAU SANA

kama unataka kujua hack cm ya mkeo utashangaa utakayokutana nayo
 
Ni kweli lakn kila jambo lina chanzo chake,,waume wengi hawako karibu na wake zao na kama wako basi wengi hawafikishi kiama cha mahaba wake zao matokeo yake ndo haya,,,, suluhisho siyo hacking bali inahitajika elimu na kutambua majukum ya mwanaume kwa mke wake,,,,hacking mtakamatwa bure maana ni kosa kisheria,,,everyone has right to confidentiality!!
 
wanajamvi
Kuna kauchunguzi nimefanya nikagungua kuwa wake za watu wanachart na wanaume ambao siyo waume zao kwa maneno magumu magumu kiasi WANAUME zao wangeziona ndoa zote zingesimama Leo na karibia kila nyumba yenye ndoa ingekuwa na msiba au ndoa nyingi zingekufa

Mfano nina wake wa watu wanne tunachart whatsp,na messenger hykaMungu ZINATISHA wananitumia had I picha mbovu nabaki nashangaa tu na huwa nawauliza endapo waume zao wakiziona itakuwaje wanasema KILA UKITUMA nafuta hivyo hawezi kuziona

kama unataka kujua hack cm ya mkeo utashangaa utakayokutana nayo
Mwongo , acha kutafuta sifa kama wana ccm!!
 
Ni kweli kabisa usemayo.
 
Je wewe umeoa?
 
bro check usije ukakojoa dagaa.ila mademu wengi nichenga na misingi ya dini 000000
 
Mi nisha hack sim ya mke wangu, hadi alipo huwa najua yupo na nani. Sometimes huwa naamua kirecord sorroundings alizopo. Sijawahi pata kitu nikatilia shaka. Japo hisia huwa zipo za kimazingira lakini
 
Ni kweli lakn kila jambo lina chanzo chake,,waume wengi hawako karibu na wake zao na kama wako basi wengi hawafikishi kiama cha mahaba wake zao matokeo yake ndo haya,,,, suluhisho siyo hacking bali inahitajika elimu na kutambua majukum ya mwanaume kwa mke wake,,,,hacking mtakamatwa bure maana ni kosa kisheria,,,everyone has right to confidentiality!!
Malaya Ni Malaya mkuu Niamini mimi...

Kama umepata mke malaya umepata Malaya..

Wapo wanawake wengi sana hawaridhiki na mahusiano yao wengi Kweli kweli lakini hawawahi kutamani wanaume wa nje instead wameamua kuwa busy na ishu nyingine...

Umalaya wa mtu usikufanye ujitoe kasoro.
 
Back
Top Bottom