Laiti kama mioyo ingekuwa wazi kama USO....

Dec 15, 2014
29
19
Laiti kama mioyo ya binadamu Na mawazo yao yangelikuwa kama wazi kama USO tungelifanikiwa sana maishani.Nimeandika Uzi huu kutokana Na mambo yaliyonikuta katika maisha yangu...especially katika swala zima la mahusiano...kwa kweli nimechoka Na mahusiano sasa better to be miss alone now...
 
Pole, hizo ndio changamoto za maisha, na mara nyingi ndizo zinakupa nguvu ya kusonga mbele vizuri zaidi ya ulikotoka.
 
Hujafikwa na mazito kushinda walimwengu wote! Loose no hope kisemo cha wadhungu
 
Uongo mwingi sana cku ...MTU anachukulia loop hole ya upweke wako kujifanya Mwema kwako Na kwamba yy ni husband material kumbe ni mwizi tuu
 
na wewe usiwe unamwamini mtu mapema hasa unapokuwa mpweke...

take time kumjua..hata kama amekuwamwema kiasi gani...

mara nyingi uongo hutamalaki wakati wa shida..

usikate tamaa..Be strong and live a happy life..

Btw POLE douter of chif kwa yalokukuta

Uongo mwingi sana cku ...MTU anachukulia loop hole ya upweke wako kujifanya Mwema kwako Na kwamba yy ni husband material kumbe ni mwizi tuu
 
Last edited by a moderator:
Pole, jipange upya mbona unaweza
Tunajifunza kutokana na makosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom