Laiti kama kweli Mungu hayupo... Nini itakuwa hatma ya viumbe wanyonge?

hata mungu unaweza kuhisi uwepo wake ziadi hata ilivyo upepo nenda kasome vitabu vya dini kama utoona unatembea na mungu popote ulipo...najua sayansi inawadanganya kuwa tulikuwa nyani

leta picha sio nadharia ya kwenye vitabu, unajua mnaojiita watu wa mungu mapenzi yenu kwake yamejengwa juu ya uoga wenu dhidi ya moto si zaidi ya hapo, kama hakuna kitisho cha moto hakuna mpenzi wa mungu hata mmoja ni kama mnavyotii serikali kwa kuamini kuwa bila serikali usalama wa raia na mali zenu si salama wakati serikali ndio jambazi nambari one.
 
Mimi nishaweka "the problem of evil" hapa kama swali, na sijajibiwa.

Kuwapo kwa maovu duniani ni moja kati ya shahidi za kutokuwapo kwa mungu mwenye upendo mkuu na uwezo mkuu.

Kama mungu ana uwezo mkuu, uwezo wa kuumba ulimwengu wa aina yoyote, hata usio na maovu (usiowezekanika kufanyika maovu kama vile wewe usivyoweza kupaa angani bila msaada wa vifaa) kwa nini hakuuumba ulimwengu wetu uwe hivyo?

Kama alikuwa na uwezo nini kilimzuia? Alikuwa hajali tu?

Lakini tunaambiwa na upendo usio kifani, kwa hiyo alitupenda waja wake.

Sasa kilichomzuia kuumba ulimwengu ambao hauna njaa, matetemeko ya ardhi, magonjwa, dhoruba, kifo, watoto kuzaliwa na vilema etc ni nini?

Ina maana alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usio na maovu lakini hakutaka tu?

Kama kafanya hivyo tutasemaje kwamba ana mapenzi makuu?

Hata baba wa kibinadamu akiwa na uwezo wa kuwapa good time wanawe halafu akawaacha waugue, wapate njaa tutamuona mbaya, hatutasema ana upendo.

Si zaidi kwa mungu ambaye anatakiwa kuwa muweza wa vyote na mwenye mapenzi yasiyo kifani?

Kweli huyu mungu yupo au stories tu?

Kama yupo mbona kaumba ulimwengu wenye maovu kibao?

Hili ndilo swali hapa.

Maana hata daktari wa kibinadamu tu akiwa na ujuzi kwamba mama mjamzito akinywa dawa hii wakati ana mimba itamsababishia azae mtoto mwenye kilema, halafu asipozuia mama kunywa dawa ile, tutamuona huyu daktari ni kama mnyama.

Sasa inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aachie watoto wadogo wasio na hatia wazaliwe na vilema halafu tuendelee kumtukuza kwamba ana mapenzi makuu?

Mungu gani huyu ambaye hana hata ethics ndogo tu za kibinadamu?

Mungu yupo na matendo makuu huthibitisha uwepo wake pale inapotokea unatatizo hata wewe unamkumbuka hakika Mungu na usamehewe kwa kukufuru
 
Kuna watu humu wanauliza maswali kama vile hawajapitia hata darasa. Hivyo unadhani ulimwengu ndio wenye dhambi au walimwengu walio ndani ya huo ulimwengu? Eti unashangaa kama kweli Mungu ana upendo kwa viumbe vyake kwa nini aliumba njaa, magonjwa vilema nk!! Lo! Ngoja nisafiri na akili yako. Kama ni hivyo basi kusingekuwa na haja ya kuwepo mitihani mashuleni. Kwani tungekuwa tunasoma tu basi! Ukijuwa kusoma na kuandika unakuwa Dr. Eng, professor, nk.
 
kila kitu kibaya kitendekacho humu Duniani, hukumu yake ni hapa hapa, hizo habari za mwisho wa dunia na adhabu huko mbinguni ni mambo ya kutiana hofu, na ni yakufikirika na kuwafunga watu pamoja na kuwatala akili zao.. but kiharisia hakuna vitu kama ivyo

Hiyo adhabu anaitoa nani na kama ipo hapa hapa kwa nin isiwepo huko??
 
Mimi nishaweka "the problem of evil" hapa kama swali, na sijajibiwa.

Kuwapo kwa maovu duniani ni moja kati ya shahidi za kutokuwapo kwa mungu mwenye upendo mkuu na uwezo mkuu.

Kama mungu ana uwezo mkuu, uwezo wa kuumba ulimwengu wa aina yoyote, hata usio na maovu (usiowezekanika kufanyika maovu kama vile wewe usivyoweza kupaa angani bila msaada wa vifaa) kwa nini hakuuumba ulimwengu wetu uwe hivyo?

Kama alikuwa na uwezo nini kilimzuia? Alikuwa hajali tu?

Lakini tunaambiwa na upendo usio kifani, kwa hiyo alitupenda waja wake.

Sasa kilichomzuia kuumba ulimwengu ambao hauna njaa, matetemeko ya ardhi, magonjwa, dhoruba, kifo, watoto kuzaliwa na vilema etc ni nini?

Ina maana alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usio na maovu lakini hakutaka tu?

Kama kafanya hivyo tutasemaje kwamba ana mapenzi makuu?

Hata baba wa kibinadamu akiwa na uwezo wa kuwapa good time wanawe halafu akawaacha waugue, wapate njaa tutamuona mbaya, hatutasema ana upendo.

Si zaidi kwa mungu ambaye anatakiwa kuwa muweza wa vyote na mwenye mapenzi yasiyo kifani?

Kweli huyu mungu yupo au stories tu?

Kama yupo mbona kaumba ulimwengu wenye maovu kibao?

Hili ndilo swali hapa.

Maana hata daktari wa kibinadamu tu akiwa na ujuzi kwamba mama mjamzito akinywa dawa hii wakati ana mimba itamsababishia azae mtoto mwenye kilema, halafu asipozuia mama kunywa dawa ile, tutamuona huyu daktari ni kama mnyama.

Sasa inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aachie watoto wadogo wasio na hatia wazaliwe na vilema halafu tuendelee kumtukuza kwamba ana mapenzi makuu?

Mungu gani huyu ambaye hana hata ethics ndogo tu za kibinadamu?

Kiranga

Hebu ngoja niwasaidie kwa kuwafanyia reference ili wasome wao wenyewe.

Problem of evil - Wikipedia, the free encyclopedia

Predestination - Wikipedia, the free encyclopedia

cc: Eiyer Money Stunna Kikwajuni one Ph-25 mzaramo
 
leta picha sio nadharia ya kwenye vitabu, unajua mnaojiita watu wa mungu mapenzi yenu kwake yamejengwa juu ya uoga wenu dhidi ya moto si zaidi ya hapo, kama hakuna kitisho cha moto hakuna mpenzi wa mungu hata mmoja ni kama mnavyotii serikali kwa kuamini kuwa bila serikali usalama wa raia na mali zenu si salama wakati serikali ndio jambazi nambari one.

Mkuu,

Hivyo vitabu vinawafanya watu wasifikirie kabisa. Wanajipa matumaini kwa vitabu vilivyoandikwa na binadamu miaka mingi nyuma ambapo uelewa na ufahamu wa mwanadamu juu ya natural phenomena ulikuwa chini sana.
 
Mimi nishaweka "the problem of evil" hapa kama swali, na sijajibiwa.

Kuwapo kwa maovu duniani ni moja kati ya shahidi za kutokuwapo kwa mungu mwenye upendo mkuu na uwezo mkuu.

Kama mungu ana uwezo mkuu, uwezo wa kuumba ulimwengu wa aina yoyote, hata usio na maovu (usiowezekanika kufanyika maovu kama vile wewe usivyoweza kupaa angani bila msaada wa vifaa) kwa nini hakuuumba ulimwengu wetu uwe hivyo?

Kama alikuwa na uwezo nini kilimzuia? Alikuwa hajali tu?

Lakini tunaambiwa na upendo usio kifani, kwa hiyo alitupenda waja wake.

Sasa kilichomzuia kuumba ulimwengu ambao hauna njaa, matetemeko ya ardhi, magonjwa, dhoruba, kifo, watoto kuzaliwa na vilema etc ni nini?

Ina maana alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usio na maovu lakini hakutaka tu?

Kama kafanya hivyo tutasemaje kwamba ana mapenzi makuu?

Hata baba wa kibinadamu akiwa na uwezo wa kuwapa good time wanawe halafu akawaacha waugue, wapate njaa tutamuona mbaya, hatutasema ana upendo.

Si zaidi kwa mungu ambaye anatakiwa kuwa muweza wa vyote na mwenye mapenzi yasiyo kifani?

Kweli huyu mungu yupo au stories tu?

Kama yupo mbona kaumba ulimwengu wenye maovu kibao?

Hili ndilo swali hapa.

Maana hata daktari wa kibinadamu tu akiwa na ujuzi kwamba mama mjamzito akinywa dawa hii wakati ana mimba itamsababishia azae mtoto mwenye kilema, halafu asipozuia mama kunywa dawa ile, tutamuona huyu daktari ni kama mnyama.

Sasa inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aachie watoto wadogo wasio na hatia wazaliwe na vilema halafu tuendelee kumtukuza kwamba ana mapenzi makuu?

Mungu gani huyu ambaye hana hata ethics ndogo tu za kibinadamu?

Mie kwa upande wangu naomba nichangie ......Mungu aliumba ulimwengu usiyo na dhambi ila alipo muumba mwanadamu alimpa uwezo wa kutambua zuri au baya(hapo ndo dhambi zilipoanza) .....kwahiyo sisi kama binadamu tunauwezo wa kufanya mambo yetu wenyewe mazuri au mabaya ,kufuata Mungu au shetani(maovu) ama kuishi jinsi tunavyotakasisi ....Sikweli unacho sema kwanini asiumbe ulimwengu ambao hauna ugonjwa,amani na upendo....lakini kumbuka alitupa hekima ya kupambua mambo ..... Naomba tufanye hivi tuache dhambi zote mfano uzinzi,abortion,matusi,wizi,n.k afu tuishi kama ndugu binadamu wote mwenye dini hii waheshimu dini nyingine,kuwe na haki na upendo na yote maovu .....afu angalia kama kutakuwa na vifo,matetemeko,watoto kufa wakiwa wadogo ....haya yote ni kwasababu ya dhambi zetu .....tukiacha mambo machafu afu kukawa na matetemeko,vifo,magonjwa nitaamini kweli Mungu hayupo ...umeona jinsi itakavyo kuwa ngumu kuifanya dunia kutokuwa na dhambi basi tukishindwa ni haki yetu kuface haya magonjwa...... tazama baba anatenda dhambi,mama anatenda dhambi matokeo yake kiumbe kinachotoka ni muunganiko wa dhambi ...... point tuache maovu yote hapa duniani afu tuone kama kutakuwa na vifo,mafuriko nk....na hapo ndipo tutajua kuwa Mungu yupo ....maovu ndo yanatucost na baadae tunaulizana kama ana upendo ... mbona ukumbuki ulivyo pewa uwezo wa kutambua jema au baya na ukifanya baya(maovu) usiadhibiwe kwanini .... unamtoto unamwambia baya ni hili zuri ni hili afu anafanya baya kwanini asiadhibiwe ....sasa Mungu hapigi kofi au fimbo ila maovu yetu yanatupa dhoruba,magonjwa,matetemeko nk.....Haya ni mawazo yangu mkuu
 
Mungu yupo na matendo makuu huthibitisha uwepo wake pale inapotokea unatatizo hata wewe unamkumbuka hakika Mungu na usamehewe kwa kukufuru

Hujajibu swali.

Na wakati nafanya mazoezi ya kufikiri hufikiri kuhusu "pembetatu duara".

Hilo halimaanishi "pembetatu duara" ipo.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye maovu?
 
Kuna watu humu wanauliza maswali kama vile hawajapitia hata darasa. Hivyo unadhani ulimwengu ndio wenye dhambi au walimwengu walio ndani ya huo ulimwengu? Eti unashangaa kama kweli Mungu ana upendo kwa viumbe vyake kwa nini aliumba njaa, magonjwa vilema nk!! Lo! Ngoja nisafiri na akili yako. Kama ni hivyo basi kusingekuwa na haja ya kuwepo mitihani mashuleni. Kwani tungekuwa tunasoma tu basi! Ukijuwa kusoma na kuandika unakuwa Dr. Eng, professor, nk.

Hujajibu swali.

Kama mungu kauumba ulimwengu, alipokuwa anauumba pale, aliweza kuuumba kwa kuufanya usirihusu watoto kuzaliwa na vilema.

Ana uwezo wote. Ana upendo wote. Kwa nini hakusema "mtoto anapozaliwa asizaliwe na kilema"?

Nini kimemfanya mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aachie watoto kuweza kuzaliwa na vilema?

Hujajibu swali.
 
Mie kwa upande wangu naomba nichangie ......Mungu aliumba ulimwengu usiyo na dhambi ila alipo muumba mwanadamu alimpa uwezo wa kutambua zuri au baya(hapo ndo dhambi zilipoanza) .....kwahiyo sisi kama binadamu tunauwezo wa kufanya mambo yetu wenyewe mazuri au mabaya ,kufuata Mungu au shetani(maovu) ama kuishi jinsi tunavyotakasisi ....Sikweli unacho sema kwanini asiumbe ulimwengu ambao hauna ugonjwa,amani na upendo....lakini kumbuka alitupa hekima ya kupambua mambo ..... Naomba tufanye hivi tuache dhambi zote mfano uzinzi,abortion,matusi,wizi,n.k afu tuishi kama ndugu binadamu wote mwenye dini hii waheshimu dini nyingine,kuwe na haki na upendo na yote maovu .....afu angalia kama kutakuwa na vifo,matetemeko,watoto kufa wakiwa wadogo ....haya yote ni kwasababu ya dhambi zetu .....tukiacha mambo machafu afu kukawa na matetemeko,vifo,magonjwa nitaamini kweli Mungu hayupo ...umeona jinsi itakavyo kuwa ngumu kuifanya dunia kutokuwa na dhambi basi tukishindwa ni haki yetu kuface haya magonjwa...... tazama baba anatenda dhambi,mama anatenda dhambi matokeo yake kiumbe kinachotoka ni muunganiko wa dhambi ...... point tuache maovu yote hapa duniani afu tuone kama kutakuwa na vifo,mafuriko nk....na hapo ndipo tutajua kuwa Mungu yupo ....maovu ndo yanatucost na baadae tunaulizana kama ana upendo ... mbona ukumbuki ulivyo pewa uwezo wa kutambua jema au baya na ukifanya baya(maovu) usiadhibiwe kwanini .... unamtoto unamwambia baya ni hili zuri ni hili afu anafanya baya kwanini asiadhibiwe ....sasa Mungu hapigi kofi au fimbo ila maovu yetu yanatupa dhoruba,magonjwa,matetemeko nk.....Haya ni mawazo yangu mkuu

Ukianza na "mungu aliumba ulimwengu usiyo na dhambi" halafu ukakubali kwamba dhambi ipo leo, then unakubali kwamba mungu aliumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana.

Kama ana uwezo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani?

Tunaambiwa ana uwezo wote.

Je aliweza kuumba ulimwengu usio na ubaya ila hakutaka tu?

Kama ni hivyo hana upendo mkuu. Na tunaambiwa ana upendo mkuu.

Sasa ilikiwaje akaumba ulimwengu wenye maovu?
 
Habari za mida wakuu...

Ni muda sasa tangu mabishano juu ya uwepo wa mungu kuzuka humu ndani na kutokea kwa makundi moja linaamini juu ya uwepo wa kiumbe huyo... Na lingne halisadiki hamadani juu ya uwepo wake...

Binafsi sielewi kabisa nini hasa itakua hatma ya viumbe ambao wana nyanyaswa,kuu wawa na kudhurumiwa haki zao ktk jamii even mahakamani pia hawapati haki zao...

Abortion,mauaji ya imani za shirki, haya yote kweli ndo yanaishia hapa duniani bure bure kweli.?

Kama mungu hayuko kweli basi inamana hata hata siku ya ukumu haiko.? Je.? Hawa wasio amini uwepo wa mungu wanaamini kama duniani kuna zambi.?

Wadau embu tuingie dipu ktk hoja hii bna ili tuelewe haya mambo kwaundani...

Tunaitaji refference za vitabu mbali mbali ktk hili wadau.

Cc Kiranga Eiyer Mshinga Nyani Ngabu na wadau wengine pia.
Kama Mungu hayupo, basi itabidi awepo, na akishakuwepo, kwa hiyo atakuwepo, na akishakuwa atakuwepo, atakuwa alikuwepo na ataendelea kuwepo. Kwa hiyo ina maana Mungu yupo kwa sababu hawezi kutokuwepo!
 
Kiranga na wenzio kutokuamini kwenu kuwa Mungu yupo hakuwezi Kumfanya kwamba Mungu
asiwepo,Mungu ataendelea kuwepo na anaendelea kutukuzwa na sisi tunaomwamini kuwa yupo.
'Ila ipo siku ambayo kila got litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa YESU ni BWANA' Ni heri siku hiyo
ikukute ikiwa unamwamini ndani mwako'
 
Hii kwa kweli inaleta mkanganyiko mkubwa,
Huyu Mungu alipotuumba akatupa uwezo wa kutambua mema na mabaya, akatuweka duniani na ameruhusu tupambane na shetani wakati anafahamu ni vigumu sana kwa binadamu kumshinda huyu shetani,
Unaposhindwa kuwa mtakatifu kwa 100% maana yake shetani amekushinda wewe! na binadamu kila siku tunakiri kuwa hakuna aliye kamilika! yaani bado tumeshindwa kujitenga na shetani kwa asilimia zote.
Sasa hapa Mungu huyu atatuhukumu vp sisi kwenda motoni wakati kimsingi yeye ametuumba tukiwa wadhaifu dhidi ya shetani!?

kwani Mungu alikuwa na ana uwezo kabisa wa kutupa sisi uwezo wa kumshinda shetani au kumwandoa kabisa asiwe kikwazo kwetu kufikia pepo!

kwa misingi hii Mungu atatuhukumu bure wakati ni yeye aliyetuumba dhaifu!

kingine, kila imani au DINI inaamini kwamba yenyewe ndio DINI sa hihi aliyoleta Mungu, imani kuu yaani ukristo nq uislamu wote wanaamini hivi na kiasi tunaona baadhi ya watu wakiuana kwa kulazimisahana wengine waamini kama wao wanavyoamini! eti kuwa imani yao ndio ya kweli na ulimwengu wote unatakiwa uamini hivyo,

sasa Mungu yuko wapi hapa anaruhusu hili!
kwa nini yeye anaacha dunia iwe na imani nyingi na si moja? na tunaambiwa kuwa yeye ni mweza wa yote? kwanini anaacha tuumizane kisa imani? je Mungu anapenda víta? ni kweli atanipeleka motoni mimi kwa kuwa ni mkristo? je atanipeleka motoni mimi kwa kuwa ni mwislamu? kwanini ameacha tuwe na imani tofauti?

Mungu mwenye huruma atatupelekaje motoni wakati Mambo mengi au dhambi nyingi ni za asili ambazo yeye anaweza kutufanya tusizitende maana ni muweza yote?

Hatapeleka mtu motoni.
 
Mimi nishaweka "the problem of evil" hapa kama swali, na sijajibiwa.

Kuwapo kwa maovu duniani ni moja kati ya shahidi za kutokuwapo kwa mungu mwenye upendo mkuu na uwezo mkuu.

Kama mungu ana uwezo mkuu, uwezo wa kuumba ulimwengu wa aina yoyote, hata usio na maovu (usiowezekanika kufanyika maovu kama vile wewe usivyoweza kupaa angani bila msaada wa vifaa) kwa nini hakuuumba ulimwengu wetu uwe hivyo?

Kama alikuwa na uwezo nini kilimzuia? Alikuwa hajali tu?

Lakini tunaambiwa na upendo usio kifani, kwa hiyo alitupenda waja wake.

Sasa kilichomzuia kuumba ulimwengu ambao hauna njaa, matetemeko ya ardhi, magonjwa, dhoruba, kifo, watoto kuzaliwa na vilema etc ni nini?

Ina maana alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usio na maovu lakini hakutaka tu?

Kama kafanya hivyo tutasemaje kwamba ana mapenzi makuu?

Hata baba wa kibinadamu akiwa na uwezo wa kuwapa good time wanawe halafu akawaacha waugue, wapate njaa tutamuona mbaya, hatutasema ana upendo.

Si zaidi kwa mungu ambaye anatakiwa kuwa muweza wa vyote na mwenye mapenzi yasiyo kifani?

Kweli huyu mungu yupo au stories tu?

Kama yupo mbona kaumba ulimwengu wenye maovu kibao?

Hili ndilo swali hapa.

Maana hata daktari wa kibinadamu tu akiwa na ujuzi kwamba mama mjamzito akinywa dawa hii wakati ana mimba itamsababishia azae mtoto mwenye kilema, halafu asipozuia mama kunywa dawa ile, tutamuona huyu daktari ni kama mnyama.

Sasa inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aachie watoto wadogo wasio na hatia wazaliwe na vilema halafu tuendelee kumtukuza kwamba ana mapenzi makuu?

Mungu gani huyu ambaye hana hata ethics ndogo tu za kibinadamu?

kiranga nimekua nikifuatilia sana hoja zako,na mara nyingi naishia kukutafakari wewe kama mtu na badala ya hoja zako.Hata hivyo nina sababu maalum ya kufanya hivyo.Je unaweza kunisaidia maswali yabgu machache kukuhusu.
  • je ulizaliwa kwenye familia yenye imani yeyote?kama ndio, hizi ideology zako ulianza kuwa nazo lini na nini chimbuko lake?
  • je hujawahi patwa na masahibu yeyote ukashindwa kuyakabili na hatimaye kupata wazo la kuwa na imani tu?
 
Ehee baba mungu uliye juu nakuja mbele zako baba. Naomba uwasamehe wote wanaoshuku kama haupo, baba hao si akili zao wanaoshuku uwepo wako bali ni mapepo machafu.

Baba naomba ufukuze hao pepo wachafu wanashuku uwepo wako. Tazama baba awajui walitendalo kwa sababu roho chafu na pepo wachafu wamewaandama.

mungu naomba uwabadilishe na watambue uwepo wako .ASante Baba kwa kusikiliza maombi yangu.

Amen

ila watu mna vituko! kwa iyo unamwambia Mungu kuwa uku kuna mapepo wabaya as if yeye hawajui na wewe sasa ndo unampa taarifa? apa naona unamkejeli uyo Mungu wako kwani kama kweli ni Mungu sioni wewe ukiwa na fursa nzuri ya kumfahamisha Mungu kuwa kuna watu uku wamepatwa na mapepo...alaf aya mapepo nani anayapa nguvu sasa?uyo uyo Mungu?mhh apa pagumu kwa heri.
 
Kama Mungu hayupo, basi itabidi awepo, na akishakuwepo, kwa hiyo atakuwepo, na akishakuwa atakuwepo, atakuwa alikuwepo na ataendelea kuwepo. Kwa hiyo ina maana Mungu yupo kwa sababu hawezi kutokuwepo!

apa umenichanganya kitu kimoja. unasema Mungu itabidi awepo, nimekimbia kwanza kusoma msamiati wa kuwepo, hakuna sehemu yoyoyte uyo msamiati unaongelea kitu kama siku zote nkipo...una maana kuwa kitu kinachokuwapo kina chanzo na ni clear movement kutoka sehemu kuja apo, na uwepo wake lazima una mwisho ndo maana icho kitu kipo. Sasa tukiongelea uwepo wa Mungu basi lazima tukubali kuwa Mungu ana mwanzo na pia ana mwisho. Ivo basi Mungu alikuwepo na inawezekana alishatoweka, au Mungu yupo ila kuna siku atatoweka,inawezekana kashatoweka...mimi sijui ila wewe waweza kutusaidia....
 
Mkuu,

Hivyo vitabu vinawafanya watu wasifikirie kabisa. Wanajipa matumaini kwa vitabu vilivyoandikwa na binadamu miaka mingi nyuma ambapo uelewa na ufahamu wa mwanadamu juu ya natural phenomena ulikuwa chini sana.

tena si siku nyingi sana maana kabla ya ujio wa waarab kutoka omani, hatukuwa na kitu kinaitwa uislam, na kabla ya kuja kwa wazungu pia ukiristo haukuwepo...Tulikuwa tunaabudu ng'ombe, miti mikubwa na mapango na tulifanikiwa,
ila baada ya kuja hawa watu, zile imani zetu zikaitwa ushirikina...wakatuletea civilization, wakatukana Miungu wetu wooote...mkoloni halituletea majanga makuu.
 
Back
Top Bottom