laiti kama ´avator´zingelikuwa za ukweli...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

laiti kama ´avator´zingelikuwa za ukweli...!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Kop, Apr 12, 2011.

 1. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  wasalaam wana jf...! miongoni mwa vitu vinavyonivutia hapa jf ni ´avators´! nimekuwa nikitumia muda mrefu kuangalia ávator´ ya AFRODENZI...kwa kweli anaonekana kuwa mrembo haswa, ana ´lips´ nzuri, macho ya kuita, shavu lilobonyea.......natamani kukutana naye, na anaonekana ni ´interlect´ kutokana na anavyodadavua mada anuai hapa jamvini....! ni hayo tu....!
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Unatamani majini wewe!
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Sio "avator", ni 'avatar'
  "interlect" ulikusudia kusema 'intellectual'?


  Peace and love pal!:ranger:
   
 4. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  wasalaam wana mmu...!miongoni mwa vitu vinavyonivutia humu jamvini ni pamoja na ávators´ za wana jf....!nimejizuia cku nyingi lkn leo inabidi niweke mambo hadharani...co siri avator ya AFRONDEZI inanimaliza sana....macho yako mmm yanaita..ana romantic lips na mashavu malaini.....na anaonekana ni ´very interlect´ kwa jinsi anavyodadavu mada anuai hapa jamvini...ningepata nafasi ya kuonana naye na kulisadifu umbo lake ningemwambia ¨AFRONDEZI.....I..I.....I FEEL YOU¨!.....ni hayo tu...1
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  sasa si um-PM?
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  I love the name.
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  the same to me
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Naona jamaa kaanza kwanza kwa kutangaza nia kabla ya kuchukua fomu!!!!
   
 9. t

  tripojo Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makubwa, hadi avato zinachanginyi watu, mweeee!
   
 10. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimeangalia avatar nyingi na nakubali kuwa siyo pic zao halisi ila huzifanya kama za kweli vile. Lkn sijuwi ukweli uko wapi ktk avatar ya Muhammed Soshi. Na avatar yngu imechukuliwa na pic yangu halisi. Na uwamuzi huo umekuja baada ya kuangalia avatar ya The Fienest na Afrodenze ambazo zimetulia ktk colour ya black and white, hivyo ni kama zilinipa ujasiri fulani wa kunifanya niweke pic yangu halisi. But I need not to meet with any one eti kwa sababu ya avatar.
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  [​IMG] laiti kama ´avatos´zingelikuwa za ukweli...!
  Una harakishia wapi sasa???
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahahahahaha! Labda alikuwa anapika,amewahi chakula kisiungue.
   
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wiki hizi mbili,watu wanadondokeana tu humu ndani...yote heri.
   
 14. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwisho wa kudondokea/wa ni faraja au maumivu. Hapo ndo itajuilikana kama ni heri au shari
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  No comment
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya AFRODENZI anaolewa soon
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huh???????????!Mimi tu nimebaki!
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sure na mimi ndo bwana harusi!
  Mimi naupenda mwandiko wake jamani,akiandika comment humu dah!
  Ana nikumbusha ilivokuwa rahisi kum sahihishia daftari lake la mwandiko darasa la pili!

  So nice naoa mwanafunzi wangu
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aisee umesahau agano letu nina kesi na wewe utaijibu kesho
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Bwana harusi anajulikana banaa hajitaji jina.
   
Loading...