Laiti Adam na Hawa wangekuwa 'wachina'hii taabu tunayopata saa hivi ingekuwa haipo

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Yaani namaanisha kipindi kile nyoka anaenda pale bustanini ya eden kuwa danganya wale lile tunda kipindi hicho Adam na Hawa wangekuwa ni 'wachina' nadhani yule nyoka wangemla wala kusingekuwa na laana tena.
 
laana tunda la mti wa kati ni K sio kitu kingine so walivyo anza kuzini tu ndo .....?
(kuzini) kwa maoni yangu sio neno zuri kulitumia kwa hawa watu. Tujifunze kuwasilisha maoni yetu kwa upana wa taaluma juu ya mada husika. Unaweza kuangalia kwenye Bible au Quran zinasemaje kuhusiana na icho nilichoweka kwenye mabano.
 
Back
Top Bottom