Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 318
- 513
Sent using Jamii Forums mobile app
Maadili tofauti kila mtu na maadili yake.Wala sijaona haja ya kuweka XX na X hapo... ungetaja tu hamna tabu...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Hayo umesema wewe.Mtandao X ni Vodacom
Mtandao XX ni tigo
JamiiForums where we dare to talk openly
Vodacom TanzaniaUnapotaja namba unayotaka kusajili lazima kuna namna ya ku verify kwamba namba inayosajiliwa ni ya wewe uliyepo pale. Zaid ya hapo kulikuwa na uhuni tu.
Usingeweza kusajili namba ya mtu labda hiyo line uwe nayo hapohapo wakati unasajili maana kuna code zitatumwa kwenye namba husika ndipo iruhusu zoezi la usajili kuendelea na kukamilikaKuna usajili wa kijinga ulikuwa unafanyika nami niliona ni tatizo ambalo halikushtukiwa.
Wanasema ukisajili line na kitambulisho cha Taifa basi majina hubadilika na hata kama ulitumia majina tofauti. Hilo sawa halina ubishi.
Ujinga niliuona hapa.
Nilipoenda kusajili line yangu nikakutana na kampuni ya mawasiliano X inafanya zoezi la usajili kupitia alama za vidole. Nikaombwa namba na nikajisajili hali ikawa poa. Ujinga ni kuwa waliniomba namba bila kuthibitisha kweli ile namba niliyowapa ndiyo iko kwenye simu yangu yaani ningeweza kutaja namba ya mtu na ikasajiliwa kwa detail zangu pasipo na shaka yoyote.
Nilipoenda kusajili mtandao XX kabla ya usajili wakala akaniuliza hiyo line yako iko hewani nikasema naam! Akabonyeza kile kimashine chake na zikaja code kama sikosei ni OTP na akaomba nimtajie zile namba ndipo akaanza usajili na ikafanikiwa. Kidogo hawa XX walikuwa na umakini wa usajili kuliko X ambao unaenda unataja namba bila kuhakiki kama ambavyo XX walifanya kwa kutaka nithibitishe kwa code ambazo zimetumwa kwenye namba yangu.
Je imetokea nimekosea kutaja namba yangu ina maana naweza kujikuta nasajili namba ya mtu mwingine bila kujua.
Nipo tayari kukosolewa kama niko kushoto.
Tatizo wabongo mmezoeya kuzungushwa sana bila sababu, ndio maana mkirahisishiwa mambo mnaona kama maajabu, iko hivi yaani namba yako isipoendana jina na kitambulisho cha nida automatically system inaukataa usajili so hata ukikosea namba moja usajili hauwezi kukamilika mana majina yatachenganaKuna usajili wa kijinga ulikuwa unafanyika nami niliona ni tatizo ambalo halikushtukiwa.
Wanasema ukisajili line na kitambulisho cha Taifa basi majina hubadilika na hata kama ulitumia majina tofauti. Hilo sawa halina ubishi.
Ujinga niliuona hapa.
Nilipoenda kusajili line yangu nikakutana na kampuni ya mawasiliano X inafanya zoezi la usajili kupitia alama za vidole. Nikaombwa namba na nikajisajili hali ikawa poa. Ujinga ni kuwa waliniomba namba bila kuthibitisha kweli ile namba niliyowapa ndiyo iko kwenye simu yangu yaani ningeweza kutaja namba ya mtu na ikasajiliwa kwa detail zangu pasipo na shaka yoyote.
Nilipoenda kusajili mtandao XX kabla ya usajili wakala akaniuliza hiyo line yako iko hewani nikasema naam! Akabonyeza kile kimashine chake na zikaja code kama sikosei ni OTP na akaomba nimtajie zile namba ndipo akaanza usajili na ikafanikiwa. Kidogo hawa XX walikuwa na umakini wa usajili kuliko X ambao unaenda unataja namba bila kuhakiki kama ambavyo XX walifanya kwa kutaka nithibitishe kwa code ambazo zimetumwa kwenye namba yangu.
Je imetokea nimekosea kutaja namba yangu ina maana naweza kujikuta nasajili namba ya mtu mwingine bila kujua.
Nipo tayari kukosolewa kama niko kushoto.
Kasajiriupya au nenda tigo shop.
Hujui kitu oga ulale.Tatizo wabongo mmezoeya kuzungushwa sana bila sababu, ndio maana mkirahisishiwa mambo mnaona kama maajabu, iko hivi yaani namba yako isipoendana jina na kitambulisho cha nida automatically system inaukataa usajili so hata ukikosea namba moja usajili hauwezi kukamilika mana majina yatachengana