Simu Samsung a30 nikiweka line yoyote nikajaribu kupiga inaniletea msg not registered on network lakini line hiyohiyo inasoma vizuri nikiweka kwenye simu nyingine. Msaada kwa anayejua tatizo ni niniView attachment 1203708
Basi itakuwa na shidaNimerenew Jana line ya voda 4G nayo pia imegoma
Samsung, naamini IMEI number itakuwa imecorrupt, piga *#06# tazama IMEI number inayotokea kama ni sahihi.Simu Samsung a30 nikiweka line yoyote nikajaribu kupiga inaniletea msg not registered on network lakini line hiyohiyo inasoma vizuri nikiweka kwenye simu nyingine. Msaada kwa anayejua tatizo ni niniView attachment 1203708
65 sio rahisi, mimi s5 kkoo walitakaga 70. Sema ilikuwa miakamiwili iliyopita na ni wengi wanaogopa kubadili IMEI mpaka upate note kutoka kwa TCRA, mimi nilisaidiwa na Mkuu flani hapa JF, alinunua certifile, alinitoza 35,000 kama sikosei.na kama IMEI ziko screwed up andaa 65,000/= ya fundi ( sijui kama ishapanda au lah)
Naona imei 2 ya kwanza ipo sawa ila ya Pili sina uhakika kwasababu kwenye risiti inaonyesha imei mojaSamsung, naamini IMEI number itakuwa imecorrupt, piga *#06# tazama IMEI number inayotokea kama ni sahihi.
Simu yako ina warranty?
Warranty si bado haijaisha Mkuu?Ina warranty ya miaka 2
Kwa simu za samsung, kucorrupt IMEI ni jambo la kawaida mno, binafsi ninaamini kabisa IMEI imecorrupt, nenda kkoo wana duka la samsung, fundi wao atakuja pale atashughulikia simu yako.Ndio
Ok Nashukuru nitafanya hivyo nami nilisita kuipeleka kwa fundiKwa simu za samsung, kucorrupt IMEI ni jambo la kawaida mno, binafsi ninaamini kabisa IMEI imecorrupt, nenda kkoo wana duka la samsung, fundi wao atakuja pale atashughulikia simu yako.
Usijaribu kuipitisha kwa watu wengine sababu simu bado ina warranty, wakiona kuna dalili za kupita sehemu nyingine wanaweza wakagoma kabisa.