Uamuzi ni wake na roho ni yake hajavunja sheria za nchi.Alhadji Mepukori mohammed, huyo jamaa kwa tumbo hajambo!
Amewauzia washia mashamba yake na yeye kusilimishwa na kupelekwa mecca kuhiji.
Tumbo mara nyingine ni mbaya sana
hapo kwenye bold ndo nini? na aliwapokajeMimi ni wa hilo kabila na wala simtambui huyo mtu kama laigwanani wangu...
KWA HIYO ANAKANA UKOO WAKWNITAKULINDA KIJANA SEMA USIKIKE
Supai strokeWala hata hatokani na kabila letu....
Si amedhulumiwa urais, una haki ya kusema chochote. Amin amin nakuambia kutokana na watu wa tabia yenu, huyu angekuwa Rais nyie wote mngejipa u-Lowassa. SikutukaniUkoo wake haupo kwenye list za koo zetu...ila nahofia kucha zangu...
Hapa pia akitimiza wajibu wake