Lady JayDee vs Mwana FA

Nyundo Kavu

Senior Member
Dec 6, 2011
186
85
Wadau, nimefuatilia threads mbalimbali humu jamvini tangu show mbili zilizo andaliwa na moja ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo kupita. Ukweli ni kwamba, nashangazwa sana jinsi baadhi yetu tunavyoshindwa kukubali kwamba mmoja ya hao alimfunika mwenzie na kwa sababu tumekulia katika jamii ya ubishi basi tumeendelea kubisha na kutokubali kwamba bibie Judith Wambura Mbibo kafunika.

Kuna wanaosema eti mahadhi ya muziki ya wakongwe hawa kwenye "game" ni tofauti, sikatai lakini tukumbuke walikuwa na wanamuziki wa ladha tofauti waliowasindikiza kwa hiyo si sababu ya mmoja amzidi au aanguke kwa sababu hiyo.

Kuna mwandishi mmoja wa radio alidai eti show ya Khamis Mwinjuma ilikuwa inahitaji watu 400 tu...! mhh, hivyi inawezekana kweli!? kwa nini basi achukue ukumbi mkubwa? kwa nini walikuwa wanabembeleza wanafunzi wa IFM wanunue tiketi kwa bei ya chini ili hak\li waingie kujaza ukumbi?

Kama nilivyosema hapo juu, kwa sababu tumezaliwa kubisha hata kutokuwa na uhakika na unachobisha basi kuna watakao endelea kubisha na hili na wala si kurekebishana na kuukubali ukweli.

NB:
Kwa nini Mwana FA hakuchagua tarehe tofauti ilihali anajua mwanamuziki tena mkongwe mwenzie amechagua tarehe hizo? Alafu kuhusu Jide kumuita "Mwana Fatuma" ilifuatia Mwana FA ku-"tweet" kuwa show ya JayDee ni kama "fund-riser"...! Sasa kweli mlitegemea huyo dada akae kimya?

Mimi naona huyu ndugu yetu akubali tu pamoja na elimu aliyo nayo anahitaji ajiendeshe mwenyewe na si kuendeshwa na watu wachache watakao mtema wakishajua amechoka.

Nawakilisha....!
 
Yule njiti mwenye sikoceli MwanaFatuma amepotezwa vibaya na Jide, sasa asubili kuolewa na Ruge ili kufidia hasara ya Prime time promo.
 
Most of Ant- Clouds FM share The same Enemy but they have different objectives, Times fm need to take over the position of Clouds as a Leading Radio station, Jide fight for Solo survival, Sugu for interest of Artists, Pfunk for renew his lost legacy so it is very Tough struggle!
 
Wadau, nimefuatilia threads mbalimbali humu jamvini tangu show mbili zilizo andaliwa na moja ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo kupita. Ukweli ni kwamba, nashangazwa sana jinsi baadhi yetu tunavyoshindwa kukubali kwamba mmoja ya hao alimfunika mwenzie na kwa sababu tumekulia katika jamii ya ubishi basi tumeendelea kubisha na kutokubali kwamba bibie Judith Wambura Mbibo kafunika.

Kuna wanaosema eti mahadhi ya muziki ya wakongwe hawa kwenye "game" ni tofauti, sikatai lakini tukumbuke walikuwa na wanamuziki wa ladha tofauti waliowasindikiza kwa hiyo si sababu ya mmoja amzidi au aanguke kwa sababu hiyo.

Kuna mwandishi mmoja wa radio alidai eti show ya Khamis Mwinjuma ilikuwa inahitaji watu 400 tu...! mhh, hivyi inawezekana kweli!? kwa nini basi achukue ukumbi mkubwa? kwa nini walikuwa wanabembeleza wanafunzi wa IFM wanunue tiketi kwa bei ya chini ili hak\li waingie kujaza ukumbi?

Kama nilivyosema hapo juu, kwa sababu tumezaliwa kubisha hata kutokuwa na uhakika na unachobisha basi kuna watakao endelea kubisha na hili na wala si kurekebishana na kuukubali ukweli.

NB:
Kwa nini Mwana FA hakuchagua tarehe tofauti ilihali anajua mwanamuziki tena mkongwe mwenzie amechagua tarehe hizo? Alafu kuhusu Jide kumuita "Mwana Fatuma" ilifuatia Mwana FA ku-"tweet" kuwa show ya JayDee ni kama "fund-riser"...! Sasa kweli mlitegemea huyo dada akae kimya?

Mimi naona huyu ndugu yetu akubali tu pamoja na elimu aliyo nayo anahitaji ajiendeshe mwenyewe na si kuendeshwa na watu wachache watakao mtema wakishajua amechoka.

Nawakilisha....!
Well said...!!!
 
sio hivyi NI HIVI
NA SIO NAWAKILISHA(REPRESENT) NAWASILISHA,,,,,(PRESENT)
TURUD KWENYE MJADALA,wasanii wanapaswa kujiendesha,,,nampongeza jd kwa kuweza kujisimamia,pia imeonesha kuwa wasanii wanaweza kufanikiwa pasipo kutangazia clouds,,,,,,maana nimeskiza promo zake jd alizifanyia magic,times fm na east afrika
 
Mwanamke wa kuigwa, wanawake muigeni mwenzenu kusimama wenyewe na kuziishi fikra zenu, RIP Ngwear nakukumbuka kwa wimbo "kama ni demu sikiliza"
 
Huree!huree!Always keeps your head up mamaa Jide!speed ile ile hadi watembelee magoti!chezeiya strength of the woman wewe!
 
sio hivyi NI HIVI
NA SIO NAWAKILISHA(REPRESENT) NAWASILISHA,,,,,(PRESENT)
TURUD KWENYE MJADALA,wasanii wanapaswa kujiendesha,,,nampongeza jd kwa kuweza kujisimamia,pia imeonesha kuwa wasanii wanaweza kufanikiwa pasipo kutangazia clouds,,,,,,maana nimeskiza promo zake jd alizifanyia magic,times fm na east afrika
...words!
 
Hv hii bifu kaitengeneza nani? Na wanaofaidika ni kina nani hasa?

Kaitengeneza huyu na kikwapa chake na ndiye aliyefaidika.

3.JPG
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom