Lady JayDee ni zaidi ya Whitney!

whitney_houston_02.jpg


yellow+vs.JPG

Mkubwa naona ume-compare silver na yeboyebo......... doesn't get any better
 
mi kwa kweli nimecheka sana hebu ngoja nikalale .Kumlinganisha na Whitney ni sawa kulinganisha mwanga na Giza.Naenda zangu kulala mie
 
lakini kwenye hizo picha hapo juu ni kweli lady wa tz ni zaidi nyi hamuoni?
 
Mshachotwa akili la Lady Jey Dee japo mnajiona waerevu. Yeye lengo lake lilikua kutangaza blog yake, kwa mtaji huu amefanikiwa afu bado mnamuona mjinga. Dada endelea kuwachota hivyo hivyo akili, kesho njoo na "BLOG YANGU NA YA JAMIIFORUM IPI BORA?" I Gurentee you utajitangaza sana.
 
I think JD is dreaming. Kujilinganisha na Whitney sawa sawa na Ngasa kujilinganisha na KAKA wa Real Madrid
 
Huyu alianzisha bandiko hili hapa, kwanini asitoe maoni yake kwenye blog husika?
 
Uzalendo nao huwa na mipaka! Hii ni ndoto isiyootwa, labda ni nani zaidi ya maana nyingi, ila suala la kimuziki tulitoa, yeah! Anaweza akashinda kwani ye! Ni wa kaaapteeeeni! Na whitney ni wa teja' baharia' boobee!
 
Lady Jaydee na Whitney ,ni sawa ,kwa vile wote wanashukiwa kutumia madawa ya kulevya.
Let me hasten to say,kwamba kama watu hawa mastar wanatumia madawa ya kulevya,I am not complaining. Watu wengi,wanafikiria kwamba hawa mastar wanapaswa kuwa role models. But that is ridiculous. Such people should only be liked only for their singing. Indeed,mimi nadhani hao managers na promoters should do more to protect these people from such problems like drug addiction.
 
I think JD is dreaming. Kujilinganisha na Whitney sawa sawa na Ngasa kujilinganisha na KAKA wa Real Madrid



GOOD TO DREAM....angalau kathubutu.Wangapi wana huo uthubutu?
IF U CANT BE A MOUNTAIN THEN BE AN ANTHILL SO THEY SAY.
JD japo bado kufikia huko...kaza buti mama utafika mahali .....
 
OMG ..huyu Wambura leo kamzidi Whitney ..kwa lipi..lol..Hata figa figale hamzidi ingawa Whitney kamzidi kwa miaka isiyopungua 15 ...arrrgghh.

Kwani lady jay Dee ana miaka mingapi na mwona tu kama kakomaa vile!!!!!!!!!!!arrrrrrrrrrrrghhhhhhhhhhhh
 
hamna kitu kama hicho,hilo ndo tatizo la wasanii wetu kwa kujulikana dsm ndo wanaona wamepata,hebu wawe wanatuletea shot za concerts zao wakiendaga mtoni tuzione.
 
huyu kwanza hana lolote
na kuna baadhi ya watu walishammaindi huko huko kwenye blog yake kwamba maoni ya kumponda kwanini anayafuta?
yaani anaweka maoni ambayo yanamfagilia tu, kwahiyo msishangae kuona anasema yuko juu kuliko witney, thubutuuuuuuuuuuu, alah.
 
Jamani tusimhukumu Jaydee bila kujua anajilinganisha kwa kitu gani

  1. Kama ni muziki - hapana
  2. Kama ni kuwa sura nzuri - Hapana
  3. Kama ni Pesa - Hapana
  4. Kama ni kufanana na mwanaume - HAPO SAWA!!!
Wazo: JayDee ni zaidi ya Whitney kwa kuwa na sura ya kiume na mkomao!!

Upo sahihi kwa 100%
 
Katika pitapita zangu nimejikuta nikiingia sehemu na kupigwa na mshangao....nimeingia kwenye blog ya lady jaydee na nimekuta ameweka nani zaidi kati yake na Whitney Houston, watoa comment wengi wamesema JayDee ni zaidi!

yellow+vs.JPG

whitney_houston_02.jpg


Yaliyo yangu;

Dada JayDee bado saaana kujiweka ktk kundi moja na whitney,ni sawa na mjusi kujilinganisha na mamba[/QUOTE

ULITAKA AJIWEKE KUNDI MOJA NA WEWE..!?
 
Jamani nafikiri inategemeana yeye kuwa juu katika maeneo yapi. Labda tuangalie haya maeneo machache yaliyompa chart Whitney:
1) Alibobea ktk uvutaji bangi na unga baada ya kufundishwa na mumewe Bobby, kwa JD sifahamu...
2) Baada ya kupigwa chini na Bobby alianza kutembea na vitoto vodogo (kama vile mdogo wa Brand. JD nae kaolewa na kijana anayemzidi umri (hajawahi kutaja umri wake hadharani na leo ni birthday yake)
3) Ki mapato Whitney yuko juu sana (hii tuiache)
4) Ki sauti, hakuna anayebisha kiwango cha Whitney hasa ktk kupanda na kushuka (e.g I will always love you), sasa huyu dada aendelee kuimba hizo nyimbo za brass band.
5) Kama ni sura, nafikiri huyu mbongo angekuwa kijijini kwao huko Nyambono akavalishwa suruali na t shirt unaweza ukamuita Chacha.

Nafikiri amekosea sana kujilinganisha na Whitney!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom