Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 644
Katika pitapita zangu nimejikuta nikiingia sehemu na kupigwa na mshangao....nimeingia kwenye blog ya lady jaydee na nimekuta ameweka nani zaidi kati yake na Whitney Houston, watoa comment wengi wamesema JayDee ni zaidi!
Yaliyo yangu;
Dada JayDee bado saaana kujiweka ktk kundi moja na whitney,ni sawa na mjusi kujilinganisha na mamba
Yaliyo yangu;
Dada JayDee bado saaana kujiweka ktk kundi moja na whitney,ni sawa na mjusi kujilinganisha na mamba