Lady JayDee ni zaidi ya Whitney!

Mtimti

JF-Expert Member
Feb 23, 2008
942
644
Katika pitapita zangu nimejikuta nikiingia sehemu na kupigwa na mshangao....nimeingia kwenye blog ya lady jaydee na nimekuta ameweka nani zaidi kati yake na Whitney Houston, watoa comment wengi wamesema JayDee ni zaidi!

yellow+vs.JPG

whitney_houston_02.jpg

Yaliyo yangu;

Dada JayDee bado saaana kujiweka ktk kundi moja na whitney,ni sawa na mjusi kujilinganisha na mamba
 
Wewe ulitegemea nini kutoka katika blog yake?

Jay Dee hata kwaya ya nguvu hawezi kuimba.Labda kama anataka kughani mashairi na monotonous pattern, and I don't mean that as a compliment like some regard Guru's monotone.

But then again if Alpha Blondy can be a reggae superstar or formidable renown, why not Lady JayDee? Even with that, Whitney Houston is a stretch.Blondy had a more legitimate, albeit still short, claim to compare himself with Bob Marley.

To put this in perspective, Jhiko Manyika has a more legitimate claim to compare himself with Bob Marley than Lady JayDee with Whitney Houston.

She just wants to create a buzz, she's gotta be smarter than that.
 
katika pitapita zangu nimejikuta nikiingia sehemu na kupigwa na mshangao....nimeingia kwenye blog ya lady jaydee na nimekuta ameweka nani zaidi kati yake na whitney houston,watoa comment wengi wamesema jaydee ni zaidi
yaliyo yangu;dada jaydee bado saaana kujiweka ktk kundi moja na whitney,ni sawa na mjusi kujilinganisha na mamba

Ha ha ha ha ha Mwamba ngoma....., watu wengine wanakufuru kweli!!!! Hivi huyu anaweza kujifananisha na Whitney kweli? Hata Whitney katika miaka ya hivi karibuni pamoja na kutumia unga bado ni mkali mara 100 kuliko huyo Jaydee.
 
Wanaompigia kura utakuta ni washikaji zake na ni wabongo tu labda. Aweke kitu kama hicho kwenye a lager scale ili watu wa mataifa mbali mbali wavote kama atashinda.
 
Give me a break!!! huyo Lady Jaydee what ever the name is anaweza kujilinganisha na Whitney kweli naona ni hadithi za kufikirika au ni sawa na kutia kijiko cha chumvi kwenye bahari. wanamuziki bora marekani wenyewe wanasalute kwa huyu dada itakuwa huyo Lady nani hiii...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ha ha ha ha ha Mwamba ngoma....., watu wengine wanakufuru kweli!!!! Hivi huyu anaweza kujifananisha na Whitney kweli? Hata Whitney katika miaka ya hivi karibuni pamoja na kutumia unga bado ni mkali mara 100 kuliko huyo Jaydee.

Wanakufuru kama wewe unavyo copy na ku paste...umezidi na unaboa
 
Wanaompigia kura utakuta ni washikaji zake na ni wabongo tu labda. Aweke kitu kama hicho kwenye a lager scale ili watu wa mataifa mbali mbali wavote kama atashinda.

Wa nje watauliza Jay who? If she is better than Whitney why we have not heard anything related to her music. Huyu ni bora anyamaze tu si ajabu hata hizo kura anajipigia mwenyewe.
 
hahahaha...you are not serious!.....unless anataka kucheksha walionuna...lady jay dee is better than who?...
 
Wa nje watauliza Jay who? If she is better than Whitney why we have not heard anything related to her music. Huyu ni bora anyamaze tu si ajabu hata hizo kura anajipigia mwenyewe.

Ndiyo maana akaimba "Mko Juu". Sasa anajiona yuko juu zaidi ya Whitney. Yani hapa hakuna comparison yoyote in terms of money, records sold au hata huo umaarufu. Sijui ni idara gani anaweza kuji compare nae.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kwa wale wanaojua,ningependa kujua ladyjaydee anaimba nyimbo za mahadhi gani?bolingo? au?,maana nashindwa kuelewa zipo kwenye category gani
 
OMG ..huyu Wambura leo kamzidi Whitney ..kwa lipi..lol..Hata figa figale hamzidi ingawa Whitney kamzidi kwa miaka isiyopungua 15 ...arrrgghh.
 
katika pitapita zangu nimejikuta nikiingia sehemu na kupigwa na mshangao....nimeingia kwenye blog ya lady jaydee na nimekuta ameweka nani zaidi kati yake na whitney houston,watoa comment wengi wamesema jaydee ni zaidi
yaliyo yangu;dada jaydee bado saaana kujiweka ktk kundi moja na whitney,ni sawa na mjusi kujilinganisha na mamba

Jamani tusimhukumu Jaydee bila kujua anajilinganisha kwa kitu gani

  1. Kama ni muziki - hapana
  2. Kama ni kuwa sura nzuri - Hapana
  3. Kama ni Pesa - Hapana
  4. Kama ni kufanana na mwanaume - HAPO SAWA!!!

Wazo: JayDee ni zaidi ya Whitney kwa kuwa na sura ya kiume na mkomao!!
 
Last edited:
Nakubali Lady Jaydee ni zaidi ya Whitney kama tunaongelea local scene, kwa yeyote ambaye mipaka yake ya ufahamu wa muziki inaishia bongo atakuwa na mtazamo huo. Hata kama kura zimepigwa inawezekana wapigaji wakawa ni watoto wa late 90's ambao wameujua mziki wakati nyota ya Whitney imeshafifia na hawajui lolote kuhusu mwanadada huyo. Lets say Whitney anafanya show hapo Dar sehemu fulani na JD akawa naye anapiga sehemu nyingine usiku huohuo, sitashangaa sana kuona show ya Jide ikijaza kuliko ya Whitney.
 
Jamani tusimhukumu Jaydee bila kujua anajilinganisha kwa kitu gani

  1. Kama ni muziki - hapana
  2. Kama ni kuwa sura nzuri - Hapana
  3. Kama ni Pesa - Hapana
  4. Kama ni kufanana na mwanaume - HAPO SAWA!!!

Wazo: JayDee ni zaidi ya Whitney kwa kuwa na sura ya kiume na mkomao!!

whitney_houston_02.jpg

yellow+vs.JPG
 
Whitney yupo juu zaidi hamna anayebisha hili. Jaydee anavutia watu blog yake na ametupata wengi kwa hili, how nice! Ila kwa bongo, yeye ni juu zaidi ya wanamuziki wengine wa kike hapo nchini..
 
Lakini jaman,mimi sioni tatizo ninini,si ameweka kwenye blog yake?yaani tukae hapa tuanze kujadili eti Jaydee kajilinganisha na Witney kweli jaman si tutakuwa tunapoteza mda tu.Muacheni aandike atakacho blog ni yake hivyo hamuwezi kumpangia nn cha kuweka.Kama mtu anajisikia kumkosoa akaandike kule kwenye Blog yake kwan yawezekana wala hasomi comments za JF hivyo ni sawa na kujisumbua tu!!
 
Nadhani lady jaydee mwenyewe aweke wazi kama ni haki kwa yeye kufananishwa na whitney houston,kama anamfahamu vizuri huyu mtu.nilipitia jana nikaona hii kwenye blog yake,nikaona nikae kimya tu,coz mimi ni shabiki mkubwa sana wa whitney.na nimesikiliza nyimbo karibu zote za whitney.sio kwamba tunamkatisha tamaa jaydee but tuongelee ukweli jamani,labda hiyo topic ungepewa jina lingine.
 
Wanakufuru kama wewe unavyo copy na ku paste...umezidi na unaboa

Ha ha ha ha grandson umesahau buku lako la matusi ya nguoni leo? Nenda kapate misokoto uendelee kuharibu akili hiyo iliyokwishaoza kwa zaidi ya 75%. Ability to comprehend any written material with more than 2 lines, ZERO. Matatizo ya kuwabwaga watoto majuu bila direction sasa umeharibikiwa endeleza tu jani kavu. Ha ha ha ha ha ha
 
Jay dee blog yake ni ya kiswahili, kwa waswahili (wabongo) hasa vijana wadogo, na hao ndio wapiga kura wake naye analijuwa hilo. Karibu wote hawamjui Whitney (hata kama wanamjuwa, si kama tunavyomjuwa sisi) kama wamarekani wasivyomjuwa Jay dee. Of course hapo aliye juu atakuwa ni Jay dee kwa kila kitu kwa hao watu wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom