FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,143
- 715
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Jamani kla siku ya Ijumaa pale barabara Ali Hassan mwinyi/ Barabara ya Bagamoyo kwenye restaurant ya kichina huyu binti anapiga muziki pale.
Ni Patamu sana karibuni tuburudike.
SteveD,
Kwi kwi kwi Mwenza au wenza?
Yap! Kama upo Dar es salaam karibu pale leo nitakuwepo, tatizo hutanijua lakini tutaburudika wote. Ukiona mtu ana fakamia makonyagi kama hana akili nzuri basi ujue ndio mimi kwi kwi kwiiii
Karibu sana
ukiona mtu anafakamia sana safari ujue ndio mimi..huwa naagiza mbili mbili