Lady Jaydee atuma salamu za pongezi kwa Mbowe kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
yeye pekee kafanya hivyo huku wengine hata wale walikuwa wanabebwa na club billicanas wakifyata mikia bila shaka kuogopa visasi vya watu fulani
*soma haraka huu uzi utafutwa kwa sababu zisizojulikana*
jide.PNG
 
Umemuelewa mleta mada mkuu ?
Amegusia wale waliopata msaada kutoka kwa mbowe .kwa kibongo bongo fadhila ni kitu cha muhimu sana
namshangaa hiyo club bills imesaidia watu wengi sana,hajaelewa kwamba hata wengine wanamkubali sana ila wanaogopa visasi vya watu fulani,ngoja tu wakitoka madarakani wataelewa vizuri jinsi walivyokuwa wanachukiwa
 
Mkuu nimemuelewa hata kama alipata msaada wa Mbowe ila uhuru wa mtu unabaki kuwa pale pale hakuna sehemu inayomtaka kila mtu aliyepata msaada ampongeze kwenye siku yake ya kuzaliwa.
kama vile wabunge wa ccm walivyochagua uhuru wa kutompa pole tundu lissu?au waliogopa?umesahau kuna walioutumia uhuru wao kumtembelea lema gerezani wakaonywa kwa usaliti?hujaelewa kwa nini wameogopa kumpa mbowe happy bday?hata kina kusaga waliokuwa wamepafanya biliicanas uwanja wa nyumbani?hadi kina dj jd,dah awamu hii kweli mmefanikiwa KUENEZA CHUKI NA UTENGANO,hongereni kwa hilo
 
Kumpa pole mtu au kumpongeza sio suala la lazima na halitakuwa na ULAZIMA.
 
nina hakika siku ukisikia lady jay dee anashughulikiwa kwa kutoa salamu hizi za birthday utashangilia na kusema akome kwa kiherere chake cha ku wish hbd kwa maadui wa nchi
 
Sipendi kushangilia matatizo ya mwenzangu ila hakuna mtu amelazimishwa kumtakia Mbowe kheri ya siku yake ya kuzaliwa.
 
Nimekuuliza swali ,unakumbuka wale wabunge wa ccm walioenda kumtembelea lema jela kule kisongo?wakapigwa mkwara kwa usaliti?hadi wakaogopa hata kumpa pole lissu?hakuna aliyelazimishwa kukujibu swali lako,lakini na mimi swali langu MBONA MNATUJAZA MACHUKI NAMNA HII,KWANI MNALAZIMISHA WATU WACHUKIANE KISA SIASA,KISA WAPINZANI?
 
Ukiona umetishwa usifanye kitu cha utu kisa utapapaswa na wewe ukaacha basi ujue wewe uliyeacha ni MNAFIKI.

Nimekuuliza swali ,unakumbuka wale wabunge wa ccm walioenda kumtembelea lema jela kule kisongo?wakapigwa mkwara kwa usaliti?hadi wakaogopa hata kumpa pole lissu?hakuna aliyelazimishwa kukujibu swali lako,lakini na mimi swali langu MBONA MNATUJAZA MACHUKI NAMNA HII,KWANI MNALAZIMISHA WATU WACHUKIANE KISA SIASA,KISA WAPINZANI?
 
Amani gani mkuu? Kuua watu? Ndo amani yapatikana?

Acha kujiaibisha boss

Kungekuwa Hakuna Amani Wewe ungepata Muda wa ku quote comment yangu?

Utajuaje thamani ya amani wakati hujawahi kuamka Asubuhi ukakuta Maiti ya Baba yako mlangoni, hujawahi kwenda kazini unarudi unakuta Mama Yako kabakwa, Ndugu zako wamelipuliwa Na vilipuzi
 
Back
Top Bottom