Lady Jaydee amjibu Ruge, asema kuna watu wamefuta chorus yake kwenye nyimbo zao

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Lady Jaydee amesema Ruge amezungumza sahihi kutokana na nafasi aliyonayo na pia kudai kuwa kuna watu alifanya nao kolabo ila wamefuta chorus kwenye nyimbo zao baada ya mgogoro kutokea.

Pia amedai hawajawahi kuongea kwa miaka 4 kutoana na ugomvi wao.

Mimi nili muelewa ruge,jide alikataza nyimbo zake zisipigwe clouds.na ruge akafuata order.kinachoonekana jide hataki kujishusha...ila mimi binafsi sina tatizo na ruge.
 
Jide nae aache kulilia lilia hizo chorus, ajipange wayamalize tu hakuna lisilo na mwisho! Yaliyopita si ndwele wagange yajayo maisha ili yakamilike kugombana kupo
 
Ruge mwanga na mnafiki tu hata ile interview ilikuwa ya kumpamba tu hamna cha maana nlichokiskia sku ile
 
Jide sasa ameanza kunyooka soon ata ruhusu nyimbo zake zipigwe na Clouds FM
 
Mimi nili muelewa ruge,jide alikataza nyimbo zake zisipigwe clouds.na ruge akafuata order.kinachoonekana jide hataki kujishusha...ila mimi binafsi sina tatizo na ruge.
Wewe binafsi huna matatizo na Ruge! Who are you by the way!!? Mmh.... Humjui Ruge, hata Kama akamaliza bifu lake na Jide, haitamfanya kuwa Malaika!
 
Wewe binafsi huna matatizo na Ruge! Who are you by the way!!? Mmh.... Humjui Ruge, hata Kama akamaliza bifu lake na Jide, haitamfanya kuwa Malaika!
Ni wapi Ruge kasima ana shida na umalaika.??
 
Jide afute adharani kwanza ule waraka wake ulikua umejaa chuki na kashfa.. ndo labda afikiriwe na Clouds.
 
Kwahiyo waliofuta kolasi zake ni clouds au hao wasanii waliomshirikisha ..........??
 
Jide sasa ameanza kunyooka soon ata ruhusu nyimbo zake zipigwe na Clouds FM
Jide afute adharani kwanza ule waraka wake ulikua umejaa chuki na kashfa.. ndo labda afikiriwe na Clouds.
Ruge ndio anamlamba miguu Jide
maana wao ndio walifungua kesi na wao ndio wa kwanza kuja na tamko la kumuomba jide wazicheze nyimbo zao
Jide ni komandoo sio kamandoo
 
Back
Top Bottom