Lady Jaydee amjibu Ruge, asema kuna watu wamefuta chorus yake kwenye nyimbo zao

Jay dee akubali kuwa mpole wayamalize! Boss Ruge kila kukicha ndiyo kwanzaa anapiga hela mjini hawezi kuisoma number leo wala kesho
 
Sijawahi kuamini kama jide ni msanii mwenye kipaji hilo akili yangu ilishakataa kabisa, nachoamini jide aliingia kwenye mziki mapema kabla ya wengine na kujenga Jina, Ila sijawahi kuamini kama ni msanii mwenye kipaji
 
Mkuu nina wasiwasi na umri wako,,unawezaje kumvua nguo komando kiasi hicho?unamaanisha unataka kumfananisha na hawa wanuka maziwa akina vanessa mdee makinda...kwa taarifa yako tu ni kwamba hajawahi kutokea mwanamziki wa kike kama Jide..
 
Hivi Ruge ndiye aliyeanza kusema sipigi nyimbo za Jd au JD ndiye aliyeanza kusema nyimbo zake zisipigwe na Mawingu?
 
Mkuu nina wasiwasi na umri wako,,unawezaje kumvua nguo komando kiasi hicho?unamaanisha unataka kumfananisha na hawa wanuka maziwa akina vanessa mdee makinda...kwa taarifa yako tu ni kwamba hajawahi kutokea mwanamziki wa kike kama Jide..
We hebu FUTA KAULI YAKO,labda kama unasema SAIDA KALORI HUJAWAHI KUMSIKIA WALA KUMUONA.
 
~~~>>>>Kina Ruby waliamua kupingana na Clouds ili wafuate misimamo ya Jide....... Sasa Jide amesalimu amri.
 
Sijawahi kuamini kama jide ni msanii mwenye kipaji hilo akili yangu ilishakataa kabisa, nachoamini jide aliingia kwenye mziki mapema kabla ya wengine na kujenga Jina, Ila sijawahi kuamini kama ni msanii mwenye kipaji
Ndio ujiulize kwa nn ray c mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni kafunikwa na lady jaydee, jide ni baaa
 
Mkuu nina wasiwasi na umri wako,,unawezaje kumvua nguo komando kiasi hicho?unamaanisha unataka kumfananisha na hawa wanuka maziwa akina vanessa mdee makinda...kwa taarifa yako tu ni kwamba hajawahi kutokea mwanamziki wa kike kama Jide..
Achana nae chizi hyo, mzik kaujua 2013 ataongea nn sasa
 
Anaesema Jide anaisoma namba huyo ni mpumbavu mtu anamiliki malori kama kumi mjini hapa yanapiga transit daily yapo road then useme ataisoma namba si utakuwa umelogwa wewe
 
Simshauri Jide kuruhusu nyimbo zake Clouds,itakuwa kosa kubwa sana maana atakuwa kalamba soli ya kiatu cha Ruge ,
 
Back
Top Bottom