Lady JayDee ambatiza jina jipya MwanaFA

Status
Not open for further replies.
Ni nani anapiga honi si angepaki kimya kimya...
Mwambie aache kelele nimesema mtu mzima...
Hapa ni kimya kimyaa iwe Lexus au Bima...
Mbona huwa haawasemi hata Pamba wanaazima?...
 
Naanza kuamini hii hapa hakuna beef wanataka kutulazimisha tuuwachangie 2 basi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni nani anapiga honi si angepaki kimya kimya...
Mwambie aache kelele nimesema mtu mzima...
Hapa ni kimya kimyaa iwe Lexus au Bima...
Mbona huwa haawasemi hata Pamba wanaazima?...

wengine mnapenda sana vya kupewa ndo maana wengi wenu mnaishia kuchezewa, mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa...
Vijijini asilimia 90 masikini starehe yao ni pombe na nyie...
 
Mmeamini kama huyo dada yenu sijui ANACONDA HUWA ANANUNUA KESI?SASA KISA CHA KUMUITA MWANAUME MWANAFATUMA NI NININI? AMA KWELI STRESS ZINA MAMBO!
 
Mmeamini kama huyo dada yenu sijui ANACONDA HUWA ANANUNUA KESI?SASA KISA CHA KUMUITA MWANAUME MWANAFATUMA NI NININI? AMA KWELI STRESS ZINA MAMBO!

Ninavyomfahamu FA, hawezi kuja kujibu upumbavu huo wa JD.
 
Sijapenda alivyomuita mwana FA mwanaFAtuma (kama ni kweli) maana kwa hl naimani atakua anapika bomu
 
Kitu kimoja ambacho FA hua niitupilie mbali elimu yake ni kukubali kutumiwa!! Yupo tayari kusariti wenzie kwa chenji kidogo tu, awe neutral Kama AY, Ruge anamyumbisha Sana FA, amtumia kwenye ile studio sasa anamuweka kati beef la Ruge na Jide,, mliokaribu nae mpeni ushauri,
 
Kitu kimoja ambacho FA hua
niitupilie mbali elimu yake ni kukubali kutumiwa!! Yupo tayari kusariti
wenzie kwa chenji kidogo tu, awe neutral Kama AY, Ruge anamyumbisha Sana
FA, amtumia kwenye ile studio sasa anamuweka kati beef la Ruge na
Jide,, mliokaribu nae mpeni ushauri,

jaman msimalaum fa ilaumen asil yke watoto wa kidigo ndyo kawaida yao kupenda mtelemko ktk maisha ndyo maana weng wao wamegeuzwa makontena ya madawa ya kulevya
 
JD hajafanya haki kumuita MwanaFatuma!sio haki kabisa!amemchokoza akijibu labda akamwita bi mgumba atalalamika?napita tu!
 
Huyu dada ana stress za kugegedwa na Jini. Nimjuavyo FA hawezi kubishana na huyu bibi kizee anayelazimishia usichana.
 
Wakuu kuna kitu hamjui.
clouds media walianzisha chama cha kuwanyonya wasanii wakakiita TANZANIA FLEVA UNIT. Hiki chama ndicho kilipewa studio na Rais. Baada ya kuona watu hawakielewi ikabidi wawatafute wasanii wawape Uongozi ili kuwafumba macho wasanii wengine wasio jitambua.
*mwana FA-Akapewa uwenyekiti
*TID-M/mwenyekiti
*Kalla pina-katibu
*said fella msemaji. Ndo maana jide aliposema anazindua album na mwana Fa akataka azindue siku moja na lady jey dee. TID naye akajitoa kwa jide kuogopa lawama. mia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom