Lady Jaydee alivyofunika......

my dear jana was around, ilikuwa ni balaa.
mbaya zaid anasema eti hapatani na wanamuziki wenzie lkn huwez kuamini wanamuzik wenzie walikuwepo tna kwa fujo zote.

myself huwa najiambiaga hivi hakuna kitu kibaya kama kumchafua mtu, halafu ukawaunamuombea mabaya mwisho wa siku utashuhudia ushindi wa hasimu wako. maisha sio vita useme nibebe silaha gani maisha ni akili hasa ya kujituma basi. jide anajituma sana na yuko innivative mbaya mno. nilifurah sana jana manake shoo ilibamba ile mbaya.

Ole wako ningekuona!!
 
daaa aisee MWANA F.A joto alilipata ki hukika, alaf nilimuona rafiki yake AY ana hojiwa na BBC jana, ina maana hakuwepo kwenye show.

hila huyu dada live show anaiweza hile mbaya
 
Hivi ni MwanaFALA au MwanaFATUMA maana nashindwa kuelewa hapo....

Halafu na huyo YAHAYA ni nani wajameni??
 
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371290046260.jpg
    uploadfromtaptalk1371290046260.jpg
    20.6 KB · Views: 229
Hongera zako jide na wengine msife moyo unapokabiliwa na majaribu.
 
Mwanaume mzima na tena msomi unakwenda kushindana na mwanamke. Ona sasa alivyokuaibisha. MwanaFAtuma umejiaibisha Fatu.
tangia awali sikuwa nimefuatilia vizuri haya mambo lakini huyu alivyopanga tarehe ya kwanza na FA akapanga tarehe hiyohiyo, baada ya msiba wa Mangweya akaahirisha naye akaahirisha. Na alivyopanga tarehe ya jana naye kapanga hiyo hiyo tena!!!!????
Hii kitu itufunze mambo mengi hasa Watanzania ambao tumeshindwa kuendelea lakini unaona jinsi watu wanavyoweza kujenga viwanda vya fitna na kujitahidi usiku na mchana ili wengine wasifikie malengo yao ....na wote ni Watanzania tena Weusi. Naamini Watanzania wenye aslii ya Asia au Ulaya hawawezi kufanya hivi!!!
Cha kushukuru hapa ni kuwa watu wameelewa

 
1006135_471077726307638_1009833151_n.jpg

Fa10.JPG






Fa11.JPG



Source : clouds FM :heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh: aibu yahooooooooooooooooooooo:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:

Nakala kwa Nyani Ngabi, TANMO Ruge :A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112:


Hapi komando Jide kawabeep:A S-rap::A S-rap::A S-rap::A S-rap::A S-rap:

HAHAHAHAH,ilikuwa birthday ya nani?
 
Back
Top Bottom