Lady Jaydee alivyofunika......

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,312
6,770
Hii ni hadhira iliyohudhuria onyesho la mwanamziki lady jay dee usiku wa kuamkia leo..

Haya ni matukio ya mwanzomwanzo kabla shughuli yenyewe haijaanza..Nyumbani Lounge

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • jaydee ndani.jpg
    jaydee ndani.jpg
    46 KB · Views: 2,262
  • Jayedee mfuniko.jpg
    Jayedee mfuniko.jpg
    47.1 KB · Views: 2,490
  • JD getini.jpg
    JD getini.jpg
    52.3 KB · Views: 2,411
  • JD & J.jpg
    JD & J.jpg
    53.7 KB · Views: 2,189
This was expected.
Unajua ni kama uchawi, kumtakia kiumbe yeyote kutofanikiwa.
Happy for you Jide. Aliekuwepo kwa mwana fa aweke picha nae tumfutahikie
Eti kupokezana vijiti,Ruge ushindwe mbona nyie hampokezani vijiti na redio zingine,The people has spoken.
 
Ru gay mzee wa kupokezana vijiti sijui atauweka wapi usoo wake

Mijitu kama Ru GAY ina roho mbaya za kuzaliwa nazo, sasa inawatumia vijana waliberali ambao hawajajitambua kama huyo MwanaFatuma kujaribu kufifisha ndoto na maendeleo ya wanamuziki wa bongo.

Hebu fikiria kama angekuwa ni mwanamuziki underground ingekuwaje afanyiwe zengwe kama hili, ndio ndoto zake zingezimika. Thanks God it was Comando Jide a.k.a Anakonda. RU_GAY amekomba kupima kina cha maji kwa kutumbukiza kidudu chake
 
atakaa kimya! ila jamaa watakuja sifia show mwanafatuma mpaka basi na redio yao ya wafu...
 
hongera sana,watu wamekuonyesha kuwa wapo nawe,cha msingi sasa ni kusonga mbele,ujumbe umewafikia kwa vitendo
 
Yaani tutanunua kazi za jide mpaka basi! Mwanafatuma akapate lipshiner na shadow akamteke Rugay mutapale
 
Safi Sana Jide! Binadamu Ukifanyiwa Fitina Na Majungu Na Watu Mungu Ndo Anazidi Kukubariki! ushauri wa bure kwako jide, ktk mitandao usiandike lolote zaidi ya kuwashukuru mashabiki wako!
 
This was expected.
Unajua ni kama uchawi, kumtakia kiumbe yeyote kutofanikiwa.
Happy for you Jide. Aliekuwepo kwa mwana fa aweke picha nae tumfutahikie

my dear jana was around, ilikuwa ni balaa.
mbaya zaid anasema eti hapatani na wanamuziki wenzie lkn huwez kuamini wanamuzik wenzie walikuwepo tna kwa fujo zote.

myself huwa najiambiaga hivi hakuna kitu kibaya kama kumchafua mtu, halafu ukawaunamuombea mabaya mwisho wa siku utashuhudia ushindi wa hasimu wako. maisha sio vita useme nibebe silaha gani maisha ni akili hasa ya kujituma basi. jide anajituma sana na yuko innivative mbaya mno. nilifurah sana jana manake shoo ilibamba ile mbaya.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom