Lady jay dee na Ruby hakuna anayewafikia kwa kuimba live

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,507
Kiukweli bandugu.
Hawa wasanii wawili kwa hapa bongo sijaona mtu anayewazidi kwa kuimba live.
Maana wengi wanaimba na CD yaani playlist imepangwa kwenye CD halafu anashuka tu.!

Lakini show nyingi za Hawa wawili nimeshuhudia huwa wanaimba live na wanafanya vizuri sana..

Kiukweli unaiskia sauti ya vyombo vizuri kabisa na vocal zao halisi..

Sipo hapa kubishana..
 
Back
Top Bottom