Lady Jay D na nyumba yake ya ajabu

Its official huyu sista HANA TASTE na kusema ukweli sielewi hiyo rangi nyekundu inafanya nini mle ndani.

Anyway

picha hizi hapa

http://issamichuzi.blogspot.com/2008/02/nyumbani-kwa-nanihii.html#comments

Braza

Taste inatofautiana kati ya mtu na mtu. Binadamu wote tungekuwa na taste ya aina moja dunia ingekuwa a very boring place. Ndio maana kuna wengine watakwambia wanapenda sana mboga ya mlenda na wengine watakwambia wakisikia harufu tu ya mlenda wanataka kutapika, wao wanaachwa hoi na kisamvu....upo hapo?....:)

read.php

Vipi Brazameni unataka gahawa kidogo"
 
What if she has the taste of an ultramodernist Dahomey queen? Whachuknowaboutdat?
 
Kwa kweli hiyo interior design ni mbovu kweli! TOO RED! na hiyo sink imekaa kama serving bowl!
 
Kwa kweli hiyo interior design ni mbovu kweli! TOO RED! na hiyo sink imekaa kama serving bowl!

Nina habari za udaku kuwa anachukuliwa na alyekuwa Mbunge wa CCM Moshi (V) Ngawaiya sii wengi mnajua jinsi jamaa anavyopenda mastaa na anavyohonga dau kubwa? Kwi kwi kwi!
 
Nadhani huu ni mfano wa mambo tusiyotakiwa kuyaongelea hapa.

Rangi nyekundu kwenye nyumba yake wala si ya kijiji au serikali inawahusu nini na tkijadiri itatusaidia nini?

Kuna mwenye hisia pengine makochi hayo mekundu kayapata kifisadi?
Ninyi mlitaka aweke makochi ya kijani ndiyo mumuone mdomo wake una radha?

Toba!
 
Nadhani huu ni mfano wa mambo tusiyotakiwa kuyaongelea hapa.

Rangi nyekundu kwenye nyumba yake wala si ya kijiji au serikali inawahusu nini na tkijadiri itatusaidia nini?

Kuna mwenye hisia pengine makochi hayo mekundu kayapata kifisadi?
Ninyi mlitaka aweke makochi ya kijani ndiyo mumuone mdomo wake una radha?

Toba!



Tusingeyaonegelea kama hakuweka hizo picha online

katuwekea na ma critics tupo sasa is she cant take the heat the she shouldnt stay in the kitchen

JAMBO FORUMS : WHERE WE DARE TALK OPENLY
 
jd+(69).JPG


Kwanza niseme mimi sio fan wala hater wa Lady Jay Dee, nafikiri she sings like a choir girl and she is only good when singing other people's songs choruses, which means she may have the right voice but in my opinion lacks the imagination and style to pen, arrange and harmonize great songs.Kwa hiyo nitakayoandika hayawi influenced na kuwa fan au hater.

Tatizo ni kwamba Lady Jay Dee is too ultramodenist for her own good in bongo.Ukienda na style ultramodern, minimal na obtuse (mostly furniture) kama alivyofanya yeye watu waliozoea conservative style wanaweza kujiuliza hii style imetoka wapi na hata kuchanganya ultramodern red na "ku pop loud colors" as they do in the hood.

Hatujui red ina significance gani katika maisha yake, Surge Knight anapenda red kwa sababu mtu wa damu damu, na hata mbwa wake anamuita "Damu".Kwa hiyo one man's (or woman's in this case) meat is another's poison.You are entitled to your opinion but the leading magazine on the subject "Interior Designs" proclaimed red to be "hot" na kwamba watu wenye confidence ndiyo hupenda kuweka hiyo rangi.Kwa mujibu wao Lady Jay Dee ana confidence kwa sababu red is so noticeable na yeye haku shy away from it.

Mimi sio mshabiki wa "trends" na siamini katika busara za designers, lakini kama unafuatilia interior design za ma yuppies wa NYC huwezi kushangaa hiyo nyumba ya Jay Dee kwa sababu hizi ndiyo current trends za ma apartment mengi yaliyo upande wa pili wa Hudson mitaa ya Hoboken na downtown Jersey City wanapokaa ma yuppie wa Wall St wasiotaka kukaa NYC na chic places kibao zinakuwa decorated kama hivi.Personaly hainivutii lakini kama uko into brand names na trends this is what is in now.Jay Dee is too modern for her own good kiasi kwamba watu hawamuelewi.Mwanamke kuweka red ina signify hotness na passion ndiyo maana nikasema kama yeye ni ultramodern Dahomey Queen utasemaje? Angekuwa mwanaume ana red kama hiyo ningeshangaa lakini mwanamke sawa sawa tu, nanweza kukwambia habari za "a touch of magnolia shade of fuchsia" ukashangaa mwenyewe anaongelea nini.

Kumbuka kila siku watu wanatafuta kitu "new and exciting" to the detriment of those conservative types used to set trends.

Soma hapo chini uelimike katika interior design

Yaani baada ya kuandika yote nikatafuta picha naona hawa wamesema kitu kile kile nilichosema hapo juu, ultramodern minimalism and fresh ideas against conservative styles.

2204044160_2c23a685a4.jpg

Contemporary exhibition space, designed by German design student Jana Klein-Kalmer, Interior design in minimalist style with the red color, For the exhibits, the walls become plateau – carrying plans and models – lying on different landings or hovering in front of the red walls. Really inspirational interior design. I hope you get the fresh idea after looking this pictures.
Red, hot, and new

by Josephine Minutillo
Interior Design · January 1, 2005

Italian manufacturer Cassina has built a furniture collection that ranges from icons such as Le Corbusier's LC4 chaise and Gerrit Rietveld's Zig-Zag chair to cutting-edge contemporary offerings from the likes of Hannes Wettstein and Patrick Jouin. And the inventory keeps expanding, most recently with the acquisition of Alias metal furniture. Cassina's bi-level New York showroom, however, hadn't grown by a single square inch for more than a decade.

Just as Cassina began to think about finding more spacious digs elsewhere in Midtown, basement space opened up right next door. The company quickly annexed the neighboring 2,200 square feet, then rehired architecture firm Giancarlo Tintori, which had just completed the successful redesign of Cassina's showroom in Milan.

The New York showroom remained open throughout the renovation. Now, after seven months of construction, differences are visible immediately: Even the storefront received a face-lift. Besides replacing an existing canvas awning with a more substantial stainless-steel one that proudly bears the Cassina logo in brilliant red, principal Giancarlo Tintori removed low-hanging soffits that had housed obsolete mechanicals-thus maximizing sidewalk gazing at window displays, changed every six weeks.

Inside, Tintori imported some of his Milan strategies to New York. The Cassina logo's red, for instance, became a signature element. Scarlet-lacquered partitions not only extend all the way up to the 10-foot ceiling, to define display areas, but are also 3 feet deep, to hide structural columns and provide storage. "By translating an important aspect of the company's logo into an architectural element, the Cassina brand becomes instantly identifiable," Tintori explains. "And the luminous quality of the red sets off the products graphically."

Despite the intensity of the red, the environment remains a neutral backdrop for the furniture-thanks to the planes of pure white. Floors are seamless epoxy. Walls are uninterrupted except for a few sculptural cutouts. Rows of spotlights are discreetly recessed in the ceiling, both upstairs and down.

The L-shape basement now offers almost twice the display area of the ground level, and the same red partitions frame more extensive vignettes incorporating larger pieces. It's here, for example, that Cassina shows Philippe Starck's M.I.S.S. home-theater sofa.

Part of the expansiveness derives from the fact that Tintori removed the original, central staircase and replaced it with one at the rear of the showroom. The dramatic new stair, fabricated in Italy and assembled on-site by a factory crew, comprises stainless-steel treads cantilevered from a freestanding steel wall anchored deep in the basement floor. The stairwell's rear wall is dominated by a giant red lacquer bar code shaped like a human figure-a graphic accent unique to the New York location of Cassina.

The top half of the 16-foot-tall figure is clearly visible from the street entrance. "Visitors see it as decorative," says Cassina USA creative director Pui-Pui Li. "But we regard him as a protector." Tintori, who calls the bar-code man Homo Codex, agrees: "He's the guardian of the showroom-benevolent, positive, attentively observing his surroundings."

From top: With low-hanging soffits removed from behind the windows, Cassina's showroom in New York is much more visible from the street. A bar code figure dominates the wall behind the stairwell.

From top: Lacquered partitions divide the ground level's display areas while concealing structural columns and providing storage. Philippe Starck's S.T. chair sits on the epoxy floor. The staircase's treads of stainless steel are cantilevered from a freestanding steel wall anchored 3 feet below the basement floor. The basement's Achille Castiglioni pendant fixture illuminates Mario Bellini's Cab chairs and La Rotonda table.

Clockwise from top left: Piero Lissoni's On-Off table and Nest sofa. Le Corbusier's LC7 swivel chair, designed in 1928 with Charlotte Perriand and Pierre Jeanneret. The Hola chair by Hannes Wettstein, paired with the LeBeau table by Patrick Jouin. Gianfranco Frattini's stacking tables grouped beside Gaetano Pesce's Feltri armchair.

FURNITURE: CASSINA. LIGHTING: FLOS. GENERAL CONTRACTOR: REIKEN CONSTRUCTION MANAGEMENT.
 
Binafsi sioni tatizo la interior decor aliyotumia huyu binti kwenye nyumba yake. Hata kama angeamua kupaka rangi ya "mkaa" its her own preference--Najua kuwa ukiamua kuweka mambo yako hadhari kama alivyofanya kupost picha zake kwenye Issa Michuzi blog, una invite critics za public, lakini naona kuna kitu kimoja ambacho sisi watanzania ni rahisi sana kufanya: Tuko very swift kwenye ku criticize. Hapo kwenye ku point finger kutafuta flaws..Wow tunaweza kushinda Oscar. Ila inapokuja kwenye kusifia...Ooops, hilo eneo bado tuna lag behind. Kama huamini, soma mitundiko ya watu kwenye Michuzi.
Napenda kumpa pongezi za dhati kwa hatua hiyo ya maendeleo. Ni vijana wangapi nchini ambao wanachakarika kimaisha na kufanya alichofanya huyu binti? Anayoyafanya chumbani kwake ni siri yake..na wala sitaki na hayanisaidii, lakini what the heck, I love her music.
 
m/mke heshima ukiitwa mama...nyumba kitu gani....

Pape, tema mate chini!!!! God gives and he can take anything anytime!!! Kuna waliowahi kuzaa wakaishia kuzika na kubaki walivyo

OMG, i cant believe this level we are in waungwana
 
Tuacheni wa visamvu tufurahie visamvu vyetu nyie wa kuku mayai wa broiler endeleen na kukuzenu
 
Its official huyu sista HANA TASTE na kusema ukweli sielewi hiyo rangi nyekundu inafanya nini mle ndani.

Anyway

picha hizi hapa

http://issamichuzi.blogspot.com/2008/02/nyumbani-kwa-nanihii.html#comments

Kha! this is soo strange mbona mnamwandama sana huyu mdada mazee....what is behind the mask with her?????.....sasa hiyo ni nyumba yako au yake???....
..for sure waga naboreka sana napoona watu wazima wakifatilia private life ya wenzao.......yeye ana-taste na RED'S ndiyo maana kaweka kwa nyumba yake.....ok
....hebu piga picha ya nyumba yako uweke hapa tuangalie taste yako ikoje....

PLS PLS PLS LEAVE JD ALONE...angekua katoa nyimbo isiyotubamba hapo ndo tungesema kateleza BUT HER nyumba tena ndani???
....this is too much ohhh
h....
 
Pape, tema mate chini!!!! God gives and he can take anything anytime!!! Kuna waliowahi kuzaa wakaishia kuzika na kubaki walivyo

OMG, i cant believe this level we are in waungwana

MTM umenena vyema mkuu.
Umri bado anao Jide, so watu wanaokurupuka na kuanza kuropoka raha ya nyumba m'mke aitwe mama ni wapuuzi.
Kila kitu huenda kwa mipango, hata nyumba huanza na ramani, na si kukurupuka kama mpumbavu.

Na kuhusu swala la rangi pia ni wapuuzi wanaopinga.
Kwani iliandikwa wapi kwenye bible au msahafu kuwa nyumba ni lazma ipakwe ndani rangi ya blue, nyeupe au cream?

Hiyo rangi nyekundu angeipaka sanaa lathan, au salma hayek au angelina julie wabongo nyienyie mngekurupuka na kuanza kutafuta zinapouzwa
Ila kwa kuwa kapaka binti wa kizanaki basi mnajifanya kupinga...
Acheni ushambenga wanafiki wakubwa nyie
 
Hi,
unajua kila mtu na choice yake, kuna wengine wanapaka nyumba zao rangi ya njano, kijani, pink na kadhalika ni kutegemeana na rangi unayopenda na tukumbuke kuwa si kila ukichukiacho wewe basi na kila mtu atakichukia
 
Kha! this is soo strange mbona mnamwandama sana huyu mdada mazee....what is behind the mask with her?????.....sasa hiyo ni nyumba yako au yake???....
..for sure waga naboreka sana napoona watu wazima wakifatilia private life ya wenzao.......yeye ana-taste na RED'S ndiyo maana kaweka kwa nyumba yake.....ok
....hebu piga picha ya nyumba yako uweke hapa tuangalie taste yako ikoje....

PLS PLS PLS LEAVE JD ALONE...angekua katoa nyimbo isiyotubamba hapo ndo tungesema kateleza BUT HER nyumba tena ndani???
....this is too much ohhhh....

Wewe lazima ni M-Congo! La sivyo Kiwahili ulipata mswaki
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom