Ladies na wale gentlemen weny uzoefu Nisaidieni,

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,734
Kuna jambo linanikera sana humu ofisini humu, hivyo kila wakati najikuta najiuliza hivi ni mahala pake au ni ignorance.

Hivi ni mahala gani ambapo wa akina dada wanatakiwa kutunza pedi a.k.a always wakiwa ofisini?

Kuna wadada humu ndani wanakuja na pedi, alafu wanaweka katika droo za ofisi droo amabozo zinatumiwa na watu wote. Ukifungua tu droo unakutana na pedi.

Hichi kitendo mi huwa kinanikera sana. Hivyo basi naomba mnisaidie

1. kama ni haki yao kuweka pedi zao kwenye droo za public.

2. Sehemu maalum za kuhifadhi hivyo vijitu
 
Hee!
Pole bro.
Hao akina dada wamekosa ustaarabu.
Hizo ndude zinatakiwa kuhifadhiwa kwenye vitu kama mikoba yao.
Aaarghhh!!!
 
Hao wanawake kama wamefundwa,mafunzo hayajawatosha!!
Kawaida hazitakiwi kuwekwa kwenye droo za public,na ndio maana kuna mikoba ya kina mama!
Pili,sio lazima kila mtu ajue leo ni tarehe zenyewe kwa kuonyesha wazi pads!!
 
Wewe utakuwa umewatongoza wakiwa kwenye red lights ndio maana wakaamua kukumaliza kwa picha maana hukuweza kusoma! Pole.
 
:biggrin1: we unafanya kazi serikalini nini? mi sijawahi kuona kitu kama hicho so wewe huko unakofanya kazi inaelekea ustaarabu kwa wanawake ni below zero
 
Ni sawa marejesho alichosema. Pads tunaweka kwa handbag, ama backpack. Tena utakuta iko kwenye bahasha blank. Sasa kama droo inatumiwa kwenye open office, haipendezi kabisa.

Pole, usikasirike. Kuwaweka sawa ukikuta ulizia kiutani jamani mkate wa nani huu anigawie? Wataanza kuona aibu na kujisitiri.
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana kabisa hawajafunzwa kwao, jaribu kuwaambia kistaarab nadhan kama ni waelewa wataacha.
 
Hao wasichana si wastaarab kabisa na inaonesha jinsi wasivyo jali na usishangae mtu kama huyo ukamtembelea kwake ukazikuta hata sitting room!
Hivi kweli hawana hand bags au wanafanya kusudi?
Sidhani kama wana jua maana ya ped zaidi ya kutumia tu!

Tabia haina dawa! Mchafu hawezi kujificha wakati wote!

Sema nao utakuwa umewasaidia sana!
Kuna jambo linanikera sana humu ofisini humu, hivyo kila wakati najikuta najiuliza hivi ni mahala pake au ni ignorance.

Hivi ni mahala gani ambapo wa akina dada wanatakiwa kutunza pedi a.k.a always wakiwa ofisini?

Kuna wadada humu ndani wanakuja na pedi, alafu wanaweka katika droo za ofisi droo amabozo zinatumiwa na watu wote. Ukifungua tu droo unakutana na pedi.

Hichi kitendo mi huwa kinanikera sana. Hivyo basi naomba mnisaidie

1. kama ni haki yao kuweka pedi zao kwenye droo za public.

2. Sehemu maalum za kuhifadhi hivyo vijitu
 
Wewe utakuwa umewatongoza wakiwa kwenye red lights ndio maana wakaamua kukumaliza kwa picha maana hukuweza kusoma! Pole.

Filipo, Mi sina tabia ya kutingoza office mate wangu maana najua kazi zitaaribika tuu, haka katabia ni kasiku nyingi, kananiboa.
 
Ni sawa marejesho alichosema. Pads tunaweka kwa handbag, ama backpack. Tena utakuta iko kwenye bahasha blank. Sasa kama droo inatumiwa kwenye open office, haipendezi kabisa.

Pole, usikasirike. Kuwaweka sawa ukikuta ulizia kiutani jamani mkate wa nani huu anigawie? Wataanza kuona aibu na kujisitiri.

Tuihs waambia mpaka tumechoka sasa, mpaka nimehisi labda ni kawaida ya vitu kama hivyo kuwekwa hadharani.
 
khaa! nyie mwashangaa kukuta kwenye droo, huku kwetu watu wazifua na kuzianika uani kama nepi za watoto...
 
Ila inaboa, Walio wameniaibisha sana, kuna ma auditor walikuja kwa kututembelea kwa siku kadhaa sasa kutokana na kitengo cha finance kuwa na nafasi finyu wakaletwa kufanyia shughuli zao ofisini kwetu toka jana leo moja kaniomba Stapler nikamwambia fungua droo hiyo utaiona. kufungua tu Pedi. nilipoona anahsngaa nami nikajidai nashangaa kuiona aibu!!!!!!!!
 
Kama mlishasema na hawasikii, basi watanieni hadharani. Kila mkiona waambie slice ya nani hii naomba na mie nipake pea nut butter. Wataacha tu. Ridicule them.
Tuihs waambia mpaka tumechoka sasa, mpaka nimehisi labda ni kawaida ya vitu kama hivyo kuwekwa hadharani.
 
Ni sawa marejesho alichosema. Pads tunaweka kwa handbag, ama backpack. Tena utakuta iko kwenye bahasha blank. Sasa kama droo inatumiwa kwenye open office, haipendezi kabisa.

Pole, usikasirike. Kuwaweka sawa ukikuta ulizia kiutani jamani mkate wa nani huu anigawie? Wataanza kuona aibu na kujisitiri.

Wewe Da'King'asti wewe una'fill watu zote ma'fesi zao ako na shem? Kuna masista zingine hata ukiwakol habari hiyo ya mabredi vile zatakiwa waziput wapi hawaelewi leson ile unawapatianga! Na madharau kwa kujiona ako na doo mingi.
 
Last edited by a moderator:
khaa! nyie mwashangaa kukuta kwenye droo, huku kwetu watu wazifua na kuzianika uani kama nepi za watoto...

hao watakuwa wanatumia vitambaa na sio pads... nimefurahi wanazifua na kuanika kwani zinapata jua na kuuwa vijidudu, great!:target:
 
Hata ukiwanga msupuu ama ukikuwa na madoo mob, haipasi kuwa na openness ya hivyo. Huo ni umang'aa. Juu msupuu wa maana ako.na class wajua. Hao ni machokoraa, yafaa wataniwe
Wewe Da'@King'asti wewe una'fill watu zote ma'fesi zao ako na shem? Kuna masista zingine hata ukiwakol habari hiyo ya mabredi vile zatakiwa waziput wapi hawaelewi leson ile unawapatianga! Na madharau kwa kujiona ako na doo mingi.
 
Back
Top Bottom