Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,
Kujitegesha ndio upuuzi wa watu wengi wanaofanya wakidhani ni njia pekee ya kumkamatia mtu,wanaume wenyewe wa sikuhizi kama samaki..akisikia unajitumbo anakimbia kama si yeye unabaki kurudi unalia oooh mwanaume huyu kumbe ulijitakia..Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,
:A S 39::A S 39: Hebu tuandamane tu maana Threads za kutupigia kelele zimezidi wakati wao ndio chanzo
hapo si ndiyo mwili unataka sasa ukiguswa shingo tu mambo tayari
Kujitegesha ndio upuuzi wa watu wengi wanaofanya wakidhani ni njia pekee ya kumkamatia mtu,wanaume wenyewe wa sikuhizi kama samaki..akisikia unajitumbo anakimbia kama si yeye unabaki kurudi unalia oooh mwanaume huyu kumbe ulijitakia..
Mwingine anaambiwa kabisa mimi sitaki kid sahizi..anadhani utani......
Hahaha twin kumbuka kuna serikali nayo..sijui itaunderstand??
In all your dealing with these creatures called men, Keep a sober mind, listen to your instincts and you will be okay.