Ladies, few things you must know before dating

Mungu alimuumba Adam na kumuweka kwenye bustani ya Eden(Eden means the presence of God and not a place,ndo maana hakuna ajuaye edeni ilipo.kwa nliowaacha soma kitabu "praise and worship" by the late dr Myles Munroe)

1.Mwanamke unahitaji mwanaume aliye na hofu ya Mungu na aishiye maisha yampendezayo Mungu(This is because the the first and most important thing a man needs is the presence of God)

2.mwanamke unahitaji mwanaume anayefanya kazi na anayependa kufanya kazi.Achana na false hopes kuwa tutatafuta wote,unahitaji kutunzwa na mwanaume atayejenga familia vizuri(If we are to be practical)
Hata Adam alipewa kazi ya kutunza(cultivate) bustani kabla ya kuletewa msaidizi(mwanamke).Ladies you need a man who works and loves to work).

3.Mwanaume hawezi kupewa mwanamke aliyekamilika sababu yeye ndiye mwenye jukumu la kumtengeneza mwanamke kujenga Familia bora.Hivyo mwanamke anapaswa kuwa msikivu na msaada kwa mwanaume kuyafikia malengo.
Adam alipowekwa kwenye bustani ya Eden alipewa kazi.His work was to cultivate the garden!to cultivate means to bring out the best in everything around you.So men have the work of improving their women,mwanaume mjenge mkeo hata umuonapo mbele yako au mbele ya watu wengine unajivunia.You say,ohh that is my Baby"

(Niendelee?ohhh it's too much for you)

4.Maandiko yanasema haipendezi kwa mwanaume ambaye ;
-anaweza kukutunza
-ana hofu ya Mungu
-anaweza kukufundisha neno la Mungu na misingi bora ya maisha
-anaweza kukulinda
Kuishi peke yake.ila kama hawezi hayo It is better for that man to continue being single.
NB:soma kwa hekima naamini utanielewa vizuri.
Thank you so much for your time folks.
.......Good neighbour.......
ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameelewa ila wanajifanya hayawahusu, visingizio vya mwanaume mashine nimekuja kutokana na wanaume kutopenda kufanya kazi kutafuta hela hivyo kuamua kujiuza(kutumia kiungo chao) ili kujikimu kimaisha, mwanaume sio mashine tu mwanaume ni yule anayeweza kukabiliana na changamoto za maisha hasa katika kuboresha maisha ya familia yake
upo sawa kaka Daudi1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mashine hata punda anayo mwanaume majukumu, ukiyaweza majukumu na mashine ukawa nayo umemaliza kazi
 
Mnajifariji, someni vizuri maandiko kwanza wanawake. Msipende miteremko!

Maagizo ya Mungu kwa :-

1. MWANAUME

- Kumpenda mkewe
- Kumheshimu mkewe
- Kuishi kwa akili na mkewe

2. MWANAMKE

- Kumtii mumewe
- Kumsaidia mumewe

Mengine yote uliyoyataja yapo ndani ya hayo!
 
Mnajifariji, someni vizuri maandiko kwanza wanawake. Msipende miteremko!

Maagizo ya Mungu kwa :-

1. MWANAUME

- Kumpenda mkewe
- Kumheshimu mkewe
- Kuishi kwa akili na mkewe

2. MWANAMKE

- Kumtii mumewe
- Kumsaidia mumewe

Mengine yote ukiyoyataja yapo ndani ya hayo!
Asante mkuu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom