Ladies and gentleman may i come in?

Wabbi Time

Member
Nov 20, 2010
24
0
I was lookin' 4 somethg here thats y i'm late..Let me join with you guys..I hope we gonna share somethg 2gether...Thanx
 
I was lookin' 4 somethg here thats y i'm late..Let me join with you guys..I hope we gonna share somethg 2gether...Thanx
We mwanamke au mwanaume..........???
Una watoto au huna............ na kamaunao wangapi..........na wa jinsia gani...........???
Umezaliwa wapi na lini..............???
Wa nchi gani.......???
Elimu yako ni ya mpaka wapi........???
Ulimaliza lini.......??
UTAIFANYIA NINI JF.......???
 
duuuhh haya maswali kama unataka kumpeleka jela bwana.

mwaya usijibu swali lolote kama hujisikii kujibu ...
kama kweli anataka kujua hayo yote akutumie Private message (PM)..
kwani huku ndani hakuna mtu anajua kitu kuhusu mtu..
ni wachache sana wanajua nani ni nani...
kwa hiyo usije anika mambo yako haharani bure.. halafu baadaye waje kuku tania.....
 
We mwanamke au mwanaume..........???
Una watoto au huna............ na kamaunao wangapi..........na wa jinsia gani...........???
Umezaliwa wapi na lini..............???
Wa nchi gani.......???
Elimu yako ni ya mpaka wapi........???
Ulimaliza lini.......??
UTAIFANYIA NINI JF.......???
Kwani wewe uliingia JF kwa interview kama hii?
Karibu mwahego!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom