Ladies: 12 reasons why you should date/love a 'Doctor'!

sidanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Tangu lini?
 
Hus na NN......mbavu zangu aisee na uzee huu zitachukua miezi 6 kupona

Arif twende taratibu apo....
 
kama vipi potezeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

2^x =4x......log
log2 ^x=log4x.
Xlog2=log(2^2)X.
Xlog2=log(2^2)+logX.
Xlog2=2log2+logX
logX=Xlog2-2log2
logX=(X-2)Log2
X=(X-2)2
X=2X-4
4=2X-X
X=4.
 
hapo red hapo unaweza kunishawishi
Si ndo maana nimepaandika kwa kiingreza

heheheee! Kuna mtu unataka kumzamia nini? Manake hayo mabadiliko ya ghafla si mchezo!
Dah! kipipi utaharibu movie ujue!

mi nina wivu sana bora nimdate kloro muuza mitumba.
Lini first date yetu? achana na madokta bana, kuna taimu wewe unahitaji kiss dokta anakuweka dripu. Imetokea sana Bangladesh hii

unamvunjia kloro heshima, mwenzio mitumba anaifata mwenyewe china.
Yep, transit Zimbabwe
 
mmmmmmmh,wauza mitumba nao mna matatizo yenu mengi.
Kuna kiduduperson ashachafua cv nini? hayo matatizo njoo tuyajadili kwenye kadate bana! hapa sio mahala pake.
Nakuhakikishia date ya kwanza tu basi utanenepa. Stanii
 
Kuna kiduduperson ashachafua cv nini? hayo matatizo njoo tuyajadili kwenye kadate bana! hapa sio mahala pake.
Nakuhakikishia date ya kwanza tu basi utanenepa. Stanii

kuna binadamu mwenye mkia nyuma anakuchafulia cv.hajui kama we umehusu sumbawanga.
 
kuna binadamu mwenye mkia nyuma anakuchafulia cv.hajui kama we umehusu sumbawanga.
Jana tu kuna jamaa nimemtoa matege ya kwapa na jipu la ufizi. Mtahazarishe huyo mzembe.
Na wewe ukikataa date yangu nakugeuza kizee.
 
1. They are smart
2. They can give you a free medical consultation/advice
3. They give you a gift of 'missing' them because they are always at work
4. They are heavy party people on the weekends
5. They know anatomy well (know what works...when and where)
6. They are well trained to listen
7. They know how you feel...or atleast pretend to
8. They know what you want to hear...and say it
9. They always have a strange story to tell
10. They can stay up all night if you want them to
11. They are trained in breaking the bad news in a nicer way
12. They are unshockable



Dr MDs or PhDs?
 
Back
Top Bottom