Laboratory Engineer/Scientist at UDOM

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,087
423
Habari wajumbe,

Naomba taarifa kwa mtu yoyote alieitwa katika nafasi ya Laboratory Engineer katika College of Earth Science ya UDOM ambayo Oral interview ilikua tarehe 30 Nov. 2015. KAma bado hawajaita je lini wanategemea kuita?

Nitashukuru kwa taarifa
 
Hawa ndio waliokuwa wanawacheka BAED vyuoni .....ajira hakuna ckuhz
 
Back
Top Bottom