jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,088
- 423
Habari wajumbe,
Naomba taarifa kwa mtu yoyote alieitwa katika nafasi ya Laboratory Engineer katika College of Earth Science ya UDOM ambayo Oral interview ilikua tarehe 30 Nov. 2015. KAma bado hawajaita je lini wanategemea kuita?
Nitashukuru kwa taarifa