Munamuge
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 763
- 677
Likin mkuu kuhusu koz hii veta sasa inakuwaje naskia et INA bezi sana viwandan je kwl? Sasa hapo ajira si mtihn
Ooooh! Sikuona hilo neno VETA hapo mwanzo nikajibu kwa kuhisi unataka kusoma Medical Laboratory. Hizo za VETA sifahamu ajira zake, lakini wale Technicians waliosoma vyuo vikuu na vile vya Nacte baadhi yao waliajiriwa kama walimu wa Sekondari