REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
Taasisi ya kimataifa inayohusu wafanyakazi na nguvu kazi duniani imetoa utafiti wake ulioufanya kwa mataifa ya Africa juu ya uchapakazi wa wananchi katika mataifa hayo
Ripoti imetoka ikionesha Rwanda na Tanzania kuongoza Africa kwa wanawake wanaochapa kazi kwa bidii kuyazidi mataifa mengine ya kiafrika na Ulimwengu kwa tofauti kubwa....
Nafikiri zile hekaya za majirani kwamba wao hi fighters wakati wanapewa chakula cha msaada zimejibiwa kisomi zaidi
Kutokana na wiki ya wanawake niweke hii video ili kutambua nguvu ya mwanamke pale anapoamua kutafuta anachotaka, Dah kweli Tanzania kuna Malkia wa Nguvu na huyu ni mmoja wao the iron lady