Labor Prosperity Index yatoa jibu nani mvivu kati ya Tanzania na Kenya

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Taasisi ya kimataifa inayohusu wafanyakazi na nguvu kazi duniani imetoa utafiti wake ulioufanya kwa mataifa ya Africa juu ya uchapakazi wa wananchi katika mataifa hayo

Ripoti imetoka ikionesha Rwanda na Tanzania kuongoza Africa kwa wanawake wanaochapa kazi kwa bidii kuyazidi mataifa mengine ya kiafrika na Ulimwengu kwa tofauti kubwa....

Nafikiri zile hekaya za majirani kwamba wao hi fighters wakati wanapewa chakula cha msaada zimejibiwa kisomi zaidi

20190311_195239png.pngKutokana na wiki ya wanawake niweke hii video ili kutambua nguvu ya mwanamke pale anapoamua kutafuta anachotaka, Dah kweli Tanzania kuna Malkia wa Nguvu na huyu ni mmoja wao the iron lady

Se-ronga

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
616
1,000
Taasisi ya kimataifa inayohusu wafanyakazi na nguvu kazi duniani imetoa utafiti wake ulioufanya kwa mataifa ya Africa juu ya uchapakazi wa wananchi katika mataifa hayo

Ripoti imetoka ikionesha Rwanda na Tanzania kuongoza Africa kwa wanawake wanaochapa kazi kwa bidii kuyazidi mataifa mengine ya kiafrika na Ulimwengu kwa tofauti kubwa....

Nafikiri zile hekaya za majirani kwamba wao hi fighters wakati wanapewa chakula cha msaada zimejibiwa kisomi zaidi

View attachment 1043306

Nasubiri kuona mapovu toka viunga vya KIBERA.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
henry kilenga

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
1,315
2,000
Taasisi ya kimataifa inayohusu wafanyakazi na nguvu kazi duniani imetoa utafiti wake ulioufanya kwa mataifa ya Africa juu ya uchapakazi wa wananchi katika mataifa hayo

Ripoti imetoka ikionesha Rwanda na Tanzania kuongoza Africa kwa wanawake wanaochapa kazi kwa bidii kuyazidi mataifa mengine ya kiafrika na Ulimwengu kwa tofauti kubwa....

Nafikiri zile hekaya za majirani kwamba wao hi fighters wakati wanapewa chakula cha msaada zimejibiwa kisomi zaidi

View attachment 1043306

Watasema Kenya wao wanatumia laptop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,658
2,000
Omera kiingeresa walikuja na meli buana. henry kilenga, hata na wewe pia huelewi 'proportion of women in the labour force' inamaanisha nini? Umeniangusha sana jombaa.

Kingereza huwatesa Watanzania sana, itokee ukae nao kwenye vikao halafu majadiliano yawe kwenye lugha ya kingereza, jamaa huwa wanateseka hadi huruma. Kilisha wakataa.
Taarifa kama hizi zimemshinda jamaa kutafsiri akakimbilia kufungua uzi.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Kingereza huwatesa Watanzania sana, itokee ukae nao kwenye vikao halafu majadiliano yawe kwenye lugha ya kingereza, jamaa huwa wanateseka hadi huruma. Kilisha wakataa.
Taarifa kama hizi zimemshinda jamaa kutafsiri akakimbilia kufungua uzi.
Acheni kujificha kwenye mapori ya English wakati suala lipo wazi, proportion ya wanawake ikiwa kubwa kwenye labor force hata wanaume inakua kubwa vile vile mfano hapo kwa SA inatoa picture ya ninachokiongea sababu ni Taifa la wavivu kupindukia mpaka wageni wanasifika kwa kuchapa kazi kuliko wenyeji mpaka ikapelekea xenophobia

Kwa hiyo ukiona ushiriki wa wanawake kwenye labor force ujue hata wanaume inaenda proportionally, Tanzania wachapa kazi kuliko Kenya huo ndio ukweli ukatae ujubali, research imetoa jibu.
 
Yosef Festo

JF-Expert Member
May 24, 2014
3,269
2,000
Huu ujinga bin upumbavu wa kutoelewa taarifa ni uzee ama ugonjwa?., sielewi watanzania kabisaa, na sidhani ni shida ya kuelewa kizungu., ama ni laana imefunga watu akili., tafadhali REDEEMER, kulikoni mbona unajiabisha hivi?
Taasisi ya kimataifa inayohusu wafanyakazi na nguvu kazi duniani imetoa utafiti wake ulioufanya kwa mataifa ya Africa juu ya uchapakazi wa wananchi katika mataifa hayo

Ripoti imetoka ikionesha Rwanda na Tanzania kuongoza Africa kwa wanawake wanaochapa kazi kwa bidii kuyazidi mataifa mengine ya kiafrika na Ulimwengu kwa tofauti kubwa....

Nafikiri zile hekaya za majirani kwamba wao hi fighters wakati wanapewa chakula cha msaada zimejibiwa kisomi zaidi

View attachment 1043306

Kutokana na wiki ya wanawake niweke hii video ili kutambua nguvu ya mwanamke pale anapoamua kutafuta anachotaka, Dah kweli Tanzania kuna Malkia wa Nguvu na huyu ni mmoja wao the iron lady

Sent using Jamii Forums mobile app
 
supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
940
1,000
Ila wakenya bhana, kujua kiingereza sio kuwa ndo umesoma sana, na kujua kiingereza sio ndo kupata pesa ya kukidhi mahitaji yako!! Pia Mataifa mengine makubwa kuna watu wengi wenye usomi wao na kiingereza kinawapiga chenga, nyie nchini kwenu si wamejaa Chinese Engineers? Wanajua kiingereza wale? Ushaona Medical Doctors from Russia au Italy ambao viingereza vyao vimenyooka? Mimi nishafanya kazi mpaka na wajerumani lakini hawajui English mpaka 'mende' anaita 'small animal'...akijaribu kupanga sentensi ni balaa tu!!

Knowing how to speak English does not mean that you are educated enough!!

Mnajificha kwenye English tu wakenya but nyie ni mali mbovu mno sehemu zingine ikiwemo laziness na na utapeli tapeli tu!

Povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom