Labda wa Rwanda, Uganda, Kenya, Afrika Kusini, Misri, Ghana na Ehiopia, ila siyo wa Tanzania (Madafu Nation)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
44,032
2,000
"Mwandishi wa habari asiposoma vitabu 12 kwa mwaka huyo sio Mwandishi wa habari, na hili ni tatizo la watanzania wengi, watanzania hatupendi kusoma vitabu na tunapenda kujua, Mwandishi lazima afahamu kuwa habari anayoandika au kutangaza ajue kuna watu wanajua zaidi yake, kwahiyo ni lazima kusoma angalau kitabu kimoja kwa mwezi ".- Jenerali Ulimwengu

Habari Star TV Tanzania

Kama Mwandamizi wangu katika Tasnia alikuwa akiwaambia wa Kitanzania amepoteza muda wake. Labda viwe ni Vitabu vya Umbeya watasoma.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom