Labda sijamuelewa JK vizuri kwenye hotuba yake alipotembelea Wizara ya Ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Labda sijamuelewa JK vizuri kwenye hotuba yake alipotembelea Wizara ya Ujenzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumanho, Mar 22, 2011.

 1. Jumanho

  Jumanho Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nilichoelewa mimi ni kuwa Muheshimiwa Rais hakumkataza waziri wa ujenzi kundelea na bomoabomoa ila amemtaka kuwa na utu wakati wa zoezi hilo, kuangalia historia ya maeneo yatakayokumbwa ya bomoabomea hiyo na kuwalipa wale wanaostahili kulipwa, na asiangalie kuwa serikali itapata hasara tu kwa kuwalipa wanaostahili.
  Mimi sidhani kama kwa hili pia rais alikosea.
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Kama miaka yote sita hii na bado haujamwelewa Mkwere, basi pole na hautokaa umwelewe maishani mwako.
   
 3. c

  cammory Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  saigon hiyo alvatar yako noma,
  huyu ni mwakilishi wa jimbo fulani huko songea?
  anawakilisha...........
   
Loading...