Labda nimeelewa vibaya kauli mbiu ya kutokomeza malaria.

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Siku ya malaria duniani pamoja na changamoto na mipango endelevu ni kuhakikisha kuwa vyandarua vinasambazwa kwa wingi ili kutokomeza malaria ifikapo mwaka 2013.

Lakini wazungumzaji hakuna mahali wanapoonesha kushirikiana na idara nyingine kama za miundombinu, halmashauri katika swala zima la usafi wamazingira, kwani kwa kuboresha mazingira, uzoaji wa taka, usafi wa mifereji ya maji taka kama ule wa barabara ya Morogoro toka Ubungo mpaka Magomeni ni mchafu mno.

Mimi nasema bila usafi wa mazingira! achilia mbali kugawa vyandarua kwa kila kaya ila hata tupewe vyandarua tuvivae. Malaria ng'oo! ''Malaria haikubaliki''.
 
Back
Top Bottom